Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Kama hujakatazwa mazoezi tumia muda mwingi kufanya mazoezi
Pia shiriki ibada mara kwa mara itakusaidia kupunguza kuwaza
 
Unatumia Whatsapp? Ni-whatsapp kwenye 0769142586 nikutumie maelezo ya kutosha kuhusu vidonda vya tumbo
 
kwa kifupi ni maiti tu peke yake ndi isiyowaza. nachukia madaktari wababaishaji kama hawa.

nahakika alikuwa na maana ya punguza mawazo..kuna njia nyingi za kupunguza
 
Unatumia Whatsapp? Ni-whatsapp kwenye 0769142586 nikutumie maelezo ya kutosha kuhusu vidonda vya tumbo

halafu we fadhilo paulo nilikuuliza maswali yangu ukayapotezea kiaina maana yake ulikula nduki, halafu kwanini mwende mkaelezane huko mafichoni kwenye whatsapp? kwanini usiweke hapa kwa faida ya wote?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu shikamoni wadogo zangu marahaba. Nimekuwa nasumbuliwa vidonda vya tumbo kwa muda mrefu. Mwaka jana nikaanza kutumia MUCOGEL ambayo mwanzoni ilionyesha kunisaidia lakini ktk siku za karibuni naona imefeli kabisa. Leo hii nasikia maumivu makali mithili ya kaa la moto tumboni! Nimemuona dr. ambaye ameniambia ili nipone sharti niache KUWAZA! ndugu mimi kama baba mji na watoto na mke nifanyeje ili nisiwe na mawazo ukizingatia changamoto 1399401843130.jpg. Pole sana jaribu na hii mkuu yaweza kukusaidia
 
kama utaweza acha kabsa kuwaza itakusaidia nina ushahd, mawazo ni noma yanaibua had maradh mengne
 
Hebu mtendee haki dr wako, ni kweli amekushauri kitu kimoja tu?. Usiwaze!!
 
Unatumia Whatsapp? Ni-whatsapp kwenye 0769142586 nikutumie maelezo ya kutosha kuhusu vidonda vya tumbo

sasa mkuu ungetoa hayo maelezo hapa kingeharibika nn?! wengine 2na matatizo kama hayo 2nasubiri 2dese.
 
kunywa pombe kidogo kama bia2 hv. Ile ni ngano inakwenda kuziba vidonda vya 2mbo. Seriously ila uwe unapata angalau mara2 kwa wiki. 2mia kama wiki6hv. Alafu urudi hapa unipe majibu
 
nimeona tangazo la hii dawa leo star tv, nikawa interested sana coz mama yangu anateseka sana sana na vidonda, naingia google tu.. nakutana na habari za TFDA kukataza dawa hiyo. Nimeishiwa nguvu.

Je wameshakidhi viwango na kufuata taratibu zinazotakiwa?
Au bado wanatangazia dawa iliyokatazwa?
 
kunywa pombe kidogo kama bia2 hv. Ile ni ngano inakwenda kuziba vidonda vya 2mbo. Seriously ila uwe unapata angalau mara2 kwa wiki. 2mia kama wiki6hv. Alafu urudi hapa unipe majibu

Haha are you serious mkuu 🙂
 
Hiyo ni njia ya kupunguza visiwe vinareact labda kama hujamuelewa.any stress may result to reaction na utapata maumivu.so unatakiwa ujitahidi kuzipunguza
 
kunywa pombe kidogo kama bia2 hv. Ile ni ngano inakwenda kuziba vidonda vya 2mbo. Seriously ila uwe unapata angalau mara2 kwa wiki. 2mia kama wiki6hv. Alafu urudi hapa unipe majibu

Alaa kumbe....
 
halafu we fadhilo paulo nilikuuliza maswali yangu ukayapotezea kiaina maana yake ulikula nduki, halafu kwanini mwende mkaelezane huko mafichoni kwenye whatsapp? kwanini usiweke hapa kwa faida ya wote?

Mkuu, huyo jamaa amepigwa ban kwa sasa tumsubiri amalize adhabu yake ila nina-attach hapa chini audio yake ya vidonda vya tumbo idownload uisikilize nimeipenda sana hata mimi

sasa mkuu ungetoa hayo maelezo hapa kingeharibika nn?! wengine 2na matatizo kama hayo 2nasubiri 2dese.

Download attachment yake hapa chini na uisikilize alishaiweka hapa jf siku za nyuma
 
Back
Top Bottom