Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Madem omba omba nilishawapotezea zamani sana utowaji wao k wamasharti sana ni kama ulivyosema mapenzi yameshatoka kwenye upendo sasa nipe nikupe kama unanunua bidhaa dukaniMkuu akiomba Hela hapo hapo nawe omba ulichoombea namba hapo hapo akikubali aina budi kumpa Hela anayotaka nawe akupee utamu ....
Cku hzi mapenzi yamekuwaa biashara ..shtuka..