Uguma wa maisha chanzo cha wanawake kulilia shida siku ya kwanza ya mahusiano

Uguma wa maisha chanzo cha wanawake kulilia shida siku ya kwanza ya mahusiano

Vijana wengi hasa wakiume wamekuwa wakilalamika hasa suala ya kumtongoza mwanamke na siku hiyohiyo kijana anaanza kuliliwa matatizo. Mimi mwenyewe nimekuwa ni muhanga, yaani ile tu kumuambia mwanamke unahitaji kuwa katika mahusiano basi kitakachofuata ni kuliliwa shida na matatizo.

Moja ya sababu nilizoziona hasa ni ugumu wa maisha, mwanamke ni kiumbe dhaifu sana na ni mtu ambae hawezi kuficha dhiki zake kwa muda mrefu. Kwa hiyo akipata mwenza huwa anaona amepata muokozi wa matatizo yake.

Sababu ya pili ni matatizo ya afya ya akili na saikoloji kutokana na hali ngumu ya maisha wanawake wengi wana tatizo la afya ya akili na saikoloji😎, haiwezekani tuonane leo hii hata hatujafahamiana vizuri, hunijui na sikujui hata aibu huna unaanza kunililia shida zako na matatizo yako.
Hiyo ya pili ndio point,matatizo ya akili
 
FB_IMG_16945772742091672.jpg
 
dem kupga mizinga n kawaida hata mtu kamili huwez kutokumuhudumia dem wako mwez mzma humpi ata mia duh noma
Usihudumie mwanamke ambaye hijamuoa (siyo mke wako),

Mpenzi haudumiwi hatakl kidogo,

Kama anataka umuhudumie mwambie nakuletea posa nikuoe kabisa. Na hakikisha kabisa umemuoa kwanza tofauti na hapo achana naye huyo siyo wako.
 
Kwenye Maisha kuna vitu viwili au niseme watu watu wa aina mbili, pure talented and copycat

Sasa unawezaje kuwatofautisha watu hawa? Pure talented huyu ni yule ambae hatumii nguvu nyingi kufanya uwasilishaji wa kile anachokiwasilisha yaan anatiririka tu bila shida yoyote Ila copycat ni yule anaetumia nguvu nyingi sana sababu sio yeye Ila amecopy personality ya mtu fulani kufanya uwasilishaji

Sasa wewe upo kundi gani pure talented or copycat?
Jichunguze
 
pure talented au wewe unasemaje?
 
😁vijana mpaka lini muambiwe muelewe?Mwanamke akikupenda hawezi kuomba Hela kwanza anaogopa kuandika Ile sms pendwa ya "nikwambie kitu",Ukiona unaombwa Hela kisa umetongoza ujue manzi kaiona ATM .
 
Back
Top Bottom