Uguma wa maisha chanzo cha wanawake kulilia shida siku ya kwanza ya mahusiano

Hiyo ya pili ndio point,matatizo ya akili
 
dem kupga mizinga n kawaida hata mtu kamili huwez kutokumuhudumia dem wako mwez mzma humpi ata mia duh noma
Usihudumie mwanamke ambaye hijamuoa (siyo mke wako),

Mpenzi haudumiwi hatakl kidogo,

Kama anataka umuhudumie mwambie nakuletea posa nikuoe kabisa. Na hakikisha kabisa umemuoa kwanza tofauti na hapo achana naye huyo siyo wako.
 
Kwenye Maisha kuna vitu viwili au niseme watu watu wa aina mbili, pure talented and copycat

Sasa unawezaje kuwatofautisha watu hawa? Pure talented huyu ni yule ambae hatumii nguvu nyingi kufanya uwasilishaji wa kile anachokiwasilisha yaan anatiririka tu bila shida yoyote Ila copycat ni yule anaetumia nguvu nyingi sana sababu sio yeye Ila amecopy personality ya mtu fulani kufanya uwasilishaji

Sasa wewe upo kundi gani pure talented or copycat?
Jichunguze
 
pure talented au wewe unasemaje?
 
😁vijana mpaka lini muambiwe muelewe?Mwanamke akikupenda hawezi kuomba Hela kwanza anaogopa kuandika Ile sms pendwa ya "nikwambie kitu",Ukiona unaombwa Hela kisa umetongoza ujue manzi kaiona ATM .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…