Habari wanaJF,naomba ushauri wenu! Rafiki yangu ana miaka 30,ndoa yake ina miaka 6 bila mtoto,hajawahi kuzaa wala kutoa mimba. Mzunguko wa siku zake unamatatizo kwani sometimes anableed kwa zaidi ya mwezi mmoja,sometimes anakosa siku zake kwa miezi kadhaa,sometimes bleed inaambatana na vinyamanyama,sometimes kuna kitu kinashuka ukeni. Amepima homoni ziko sawa,amepiga ultrasound ya kizazi na x-ray ya HSG hakuna tatizo lililoonekana! Je,tatizo lake linasababishwa na nini? Afanyeje kuliondoa?
Kwa kweli ushauri nilionao mimi ni wa juu juu tu na nimeupata humu juzi kupitia kwa yule mama mchungaji aliyekuwa anaf.ilwa na mumewe mchungaji. Inasemekana kuwa walikuwa wanawapandikiza waumini mimba, yaani wale walioshindikana kuzaa. Wakif.ilana na kukuombea kwa nguvu za giza unazaa. Kama rafikiyo anataka mtoto wa kulazimisha ningemshauri aende kwa hawa manabii feki wanaotumia nguvu za giza, huenda atapata mtoto.

Weweeee ndio comment gani hiyo..yaani watu wako serious wewe waleta matani....ingekua mimi ningekupika konzi moja tu...
huwezi kuwa 'sirias' wewe!
Kama ameshafamya vipimo vya hormone,ultra sound na HSG na hamna tatizo basi huenda ana PCOS ( google PCOS) dawa zipo za kurekebisha mambo. Wapo wengi tu wepata mimba japo wana PCOS.
Habari wanaJF,naomba ushauri wenu! Rafiki yangu ana miaka 30,ndoa yake ina miaka 6 bila mtoto,hajawahi kuzaa wala kutoa mimba. Mzunguko wa siku zake unamatatizo kwani sometimes anableed kwa zaidi ya mwezi mmoja,sometimes anakosa siku zake kwa miezi kadhaa,sometimes bleed inaambatana na vinyamanyama,sometimes kuna kitu kinashuka ukeni. Amepima homoni ziko sawa,amepiga ultrasound ya kizazi na x-ray ya HSG hakuna tatizo lililoonekana! Je,tatizo lake linasababishwa na nini? Afanyeje kuliondoa?
sasa huyo dr alimfanyia hormanal assay na USS Plus HYSTEROSALPINGOGRAM almshaurije??? huwez kumuambia mtu akafanye kipimo halafu makobu analeta unamwambia hayana tatzo ndo hapo hapo iwe mwisho wa story, huwa hatutibu majibu tunatibu Mgonjwa vpimo vnasaidia tu dtlr afikirie tatzo lilipo
wewe una primary infertility, sawa haya Yujifanye homon ziko sawa Japo siamin, haya tujifanye na mfuko wa uzaz uko poa kama ilicyodai HSG tatzo lililobak ni laweza kuwa
1;- Kwa mme wako
2;- POLYCYSTIC OVARY PCOS, kwani ni mnene sana? ana ndevu? kisukari? Presha? chunusi nyingi?
3;- Uvimbe kwenye Ukuta wa mimba uitwao myoma
4;- HormanI
Ebu andaa Tsh 20000/= njooo Clinic jengo jipya mhimbili siku ya Alhamis ulipie na uchukue apointment, hakuna tatzo lislo na uvumbuz, ulionwa na madaktar wababaishaji