Ugumba huu unasababishwa na nini?

Ugumba huu unasababishwa na nini?

Ednatha

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
489
Reaction score
665
Habari wanaJF,naomba ushauri wenu! Rafiki yangu ana miaka 30,ndoa yake ina miaka 6 bila mtoto,hajawahi kuzaa wala kutoa mimba. Mzunguko wa siku zake hauko sawa,kuna wakati anawahi kuona siku zake na wakati mwingine anapitiliza. Amepima homoni ziko sawa,amepiga ultrasound ya kizazi na x-ray ya HSG hakuna tatizo lililoonekana! Je,tatizo lake linasababishwa na nini? Afanyeje kuliondoa?
 
Kama ameshafamya vipimo vya hormone,ultra sound na HSG na hamna tatizo basi huenda ana PCOS ( google PCOS) dawa zipo za kurekebisha mambo. Wapo wengi tu wepata mimba japo wana PCOS.
 
Habari wanaJF,naomba ushauri wenu! Rafiki yangu ana miaka 30,ndoa yake ina miaka 6 bila mtoto,hajawahi kuzaa wala kutoa mimba. Mzunguko wa siku zake unamatatizo kwani sometimes anableed kwa zaidi ya mwezi mmoja,sometimes anakosa siku zake kwa miezi kadhaa,sometimes bleed inaambatana na vinyamanyama,sometimes kuna kitu kinashuka ukeni. Amepima homoni ziko sawa,amepiga ultrasound ya kizazi na x-ray ya HSG hakuna tatizo lililoonekana! Je,tatizo lake linasababishwa na nini? Afanyeje kuliondoa?

Kwa kweli ushauri nilionao mimi ni wa juu juu tu na nimeupata humu juzi kupitia kwa yule mama mchungaji aliyekuwa anaf.ilwa na mumewe mchungaji. Inasemekana kuwa walikuwa wanawapandikiza waumini mimba, yaani wale walioshindikana kuzaa. Wakif.ilana na kukuombea kwa nguvu za giza unazaa. Kama rafikiyo anataka mtoto wa kulazimisha ningemshauri aende kwa hawa manabii feki wanaotumia nguvu za giza, huenda atapata mtoto.
 
huwezi kuwa 'sirias' wewe!
 
Weweeee ndio comment gani hiyo..yaani watu wako serious wewe waleta matani....ingekua mimi ningekupika konzi moja tu...
 
Weweeee ndio comment gani hiyo..yaani watu wako serious wewe waleta matani....ingekua mimi ningekupika konzi moja tu...

Dada farkhina kwa niaba yako namuomba msamaha huyu dada kwani konzi lako limenitoboa utosini na linauma ile mbaya mpaka kunisuta moyo. Kweli nakubali makosa yangu, ila niliandika jokingly I wasn't serious at all, na ninarudia tena samahani kina mama for my stupidity.
 
Last edited by a moderator:
Kama ameshafamya vipimo vya hormone,ultra sound na HSG na hamna tatizo basi huenda ana PCOS ( google PCOS) dawa zipo za kurekebisha mambo. Wapo wengi tu wepata mimba japo wana PCOS.

nimejaribu kugoogle iyo PCOS nimeelewa kidogo maana imeandikwa kiinglish kigumu cha kibailojia!! nahisi nna tatizo hili je unaweza ukatutafsilia kidogo kama itawezekana!!
 
Kwa jinsi ulivyoeleza kwamba umeshafanya vipimo vyote vya hormone? ulta sound na HSG naona una daktari makini sana. Najiuliza baada ya kuambiwa hakuna tatizo kwenye vipimo hukurudi tena kwa daktari! Maana kama kipimo cha HSG alitaka kujua kama mirija imeziba ama laa! kama majibu yalikuwa yapo normal ni jambo zuri. Kama hormes zipo sawa ni jambi zuri. Naona kwa upande wako umeshafanya vipimo muhimu. Naomba nikuulize mume wako ameshafanya sperm analysis ama wewe umeshajiwekea kwamba tatizo liko kwako tu? Nafikiri nina maswali kadhaa kwako ila hebu nijibu hayo kwanza then nijue nikushauri vipi.
 
Kwanza asante kwa ushauri wako. Vipimo vinaonesha hanatatizo,Dr.alishauri mmewe afanyiwe sperm analysis ila bado hajafanyiwa. Baada ya kugoogle PCO kama ulivyoshauri,amegundua kuwa ana dalili nyingi za hiyo PCO. Kilichompa wasiwasi wa kuwa anatatizo ni irregular mp,kama inavyoonekana kwenye post!
 
PCOS (Polycystic Ovarian Syndrome) ndo tatizo alilo nalo navyoona. Dalili moja wapo ni irregular period, heavy bleeding unakuta wengi wa wanawake wenye PCOS wanaweza kupata hedhi zao mara tisa kwa mwaka wengine mara sita tu na wengine mwaka unaweza kupita bila kupata. Wanawake wa hivi inakuwa shida kidogo kupata ujauzito lakini huwa wanapata. Kwahiyo usikate tamaa. Nenda hosp watakupatia dawa za kufanya upate siku zako na nyingine za kukusaidia upate ovulation. Cha kwanza kabla hata ya kuanza matibabu mengine mume apimwe kwanza. Kama yupo fit sasa dada akomae kuhudhuria clinic. Kila mwezi lazma aripoti clinic maana dawa atakazopewa nyingine atakunywa kila siku kwa mwezi mzima nyingine atakunya siku ya tatu baada ya kuanza siku zake mpaka siku ya saba.

Akienda tu kwa gynae atahudumiwa vizuri. Nadhan anae daktari mzuri kwa vipimo alivyokwishafanya.
 
anaweza pia kusoma. kwenye PCOS forum just google it ataweza kuona experience za wanawake wengine wenye PCOS na ataweza kusoma pia shuhuda kibao za wanawake wengine wenye hilo tatizo across the world. Pia google TTC forum ni forum ya Trying To Concieve (TTC) people hukosi mawili matatu.
 
kuna aina mbil za ugumba

primary- hujawah kuzaa tangu utoto

secondary ulizaa mara moja au mbili na zaid ila ikafka sehemu uka noki..

wewe ni upi???? sema tukusaidie
 
Habari wanaJF,naomba ushauri wenu! Rafiki yangu ana miaka 30,ndoa yake ina miaka 6 bila mtoto,hajawahi kuzaa wala kutoa mimba. Mzunguko wa siku zake unamatatizo kwani sometimes anableed kwa zaidi ya mwezi mmoja,sometimes anakosa siku zake kwa miezi kadhaa,sometimes bleed inaambatana na vinyamanyama,sometimes kuna kitu kinashuka ukeni. Amepima homoni ziko sawa,amepiga ultrasound ya kizazi na x-ray ya HSG hakuna tatizo lililoonekana! Je,tatizo lake linasababishwa na nini? Afanyeje kuliondoa?

sasa huyo dr alimfanyia hormanal assay na USS Plus HYSTEROSALPINGOGRAM almshaurije??? huwez kumuambia mtu akafanye kipimo halafu majibu analeta unamwambia hayana tatzo ndo hapo hapo iwe mwisho wa story, huwa hatutibu majibu tunatibu Mgonjwa vpimo vnasaidia tu dtlr afikirie tatzo lilipo

ana primary infertility, sawa haya Yujifanye homon ziko sawa Japo siamin, haya tujifanye na mfuko wa uzaz uko poa kama ilicyodai HSG tatzo lililobak ni laweza kuwa

1;- Kwa mme wako
2;- POLYCYSTIC OVARY PCOS, kwani ni mnene sana? ana ndevu? kisukari? Presha? chunusi nyingi?
3;- Uvimbe kwenye Ukuta wa mimba uitwao myoma
4;- HormanI

Ebu andaa Tsh 20000/= njooo Clinic jengo jipya mhimbili siku ya Alhamis ulipie na uchukue apointment, hakuna tatzo lislo na uvumbuz, ulionwa na madaktar wababaishaji
 
sasa huyo dr alimfanyia hormanal assay na USS Plus HYSTEROSALPINGOGRAM almshaurije??? huwez kumuambia mtu akafanye kipimo halafu makobu analeta unamwambia hayana tatzo ndo hapo hapo iwe mwisho wa story, huwa hatutibu majibu tunatibu Mgonjwa vpimo vnasaidia tu dtlr afikirie tatzo lilipo

wewe una primary infertility, sawa haya Yujifanye homon ziko sawa Japo siamin, haya tujifanye na mfuko wa uzaz uko poa kama ilicyodai HSG tatzo lililobak ni laweza kuwa

1;- Kwa mme wako
2;- POLYCYSTIC OVARY PCOS, kwani ni mnene sana? ana ndevu? kisukari? Presha? chunusi nyingi?
3;- Uvimbe kwenye Ukuta wa mimba uitwao myoma
4;- HormanI

Ebu andaa Tsh 20000/= njooo Clinic jengo jipya mhimbili siku ya Alhamis ulipie na uchukue apointment, hakuna tatzo lislo na uvumbuz, ulionwa na madaktar wababaishaji

Kwanza,asante kwa ushauri wako.Huyu ana primary infertility,ana chunusi zisizoisha,hana ndevu ila ana nywele nyingi mno na vinyweleo vingi miguuni,mapajani na chini ya kitovu(garden love). Dr.alimpa vidonge vya duphaston ambavyo anaendelea kuvitumia. Pia dr.alishauri mmewe akapime sperms baada ya kumweleza kuwa sperms za mmewe ziko kama ute wa yai(colourless)!
 
akafanye sperm analysis, either mme anazalisha sperm kidogo ama anazalisha lakin hazjongeu kutoka uken kupanda juu ya mirija, huyo dada ana PCOS pia ila sio ishu anaweza akazaaa kama ataonwq na dktar mzur sana, i pray 4 her
 
Back
Top Bottom