Ednatha
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 489
- 665
Habari wanaJF,naomba ushauri wenu! Rafiki yangu ana miaka 30,ndoa yake ina miaka 6 bila mtoto,hajawahi kuzaa wala kutoa mimba. Mzunguko wa siku zake hauko sawa,kuna wakati anawahi kuona siku zake na wakati mwingine anapitiliza. Amepima homoni ziko sawa,amepiga ultrasound ya kizazi na x-ray ya HSG hakuna tatizo lililoonekana! Je,tatizo lake linasababishwa na nini? Afanyeje kuliondoa?