Ugumu kwa NATO kuingiza majeshi moja kwa moja katika mgogoro baina ya Urusi na Ukraine

Ugumu kwa NATO kuingiza majeshi moja kwa moja katika mgogoro baina ya Urusi na Ukraine

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Tofauti na nchi za Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya na hata Syria.

Urusi ni nchi yenye jeshi kubwa sana hapa duniani na lililokamilika.

Urusi Ina majeshi kamili ya Ardhini,angani na majini.

Sio TU kamili,Bali pia Ina silaha za Kila aina na za kipekee,katika majeshi hayo matatu.

Russia inajua sehemu za kupiga katika Kila mwanachama wa NATO.

Na bahati mbaya kipigo kwa hizo nchi sio Cha kitoto,sio kama anachopewa Ukraine.

Urusi inazo silaha ambazo bado hata haijazitumia kwa Ukraine.

Silaha hizo Zina wasubiri wa NATO,achilia mbali silaha za nyukilia.

Hii ndio moja ya sababu ambayo NATO wanajishauri mara mbili kuingiza majeshi.

Hakuna hata nchi moja ya NATO ambayo IPO tayari kuharibu miundombinu Yao,majengo mazuri na uchumi wa nchi hizo kwa sababu ya Ukraine.

Sababu nyingine ambayo NATO wanaiona na kutotamni kuingia kijeshi ni washirika wa Urusi.

Unaweza kuona kama Urusi Haina washirika ,ama hawako tayari kuiunga mkono Russia ,lakini sio kweli,ukweli ni kwamba NATO wakiingia ,china,Iran,Korea Kaskazini,na wale jamaa wa mashariki mwa Urusi waliokua sehemu ya USSR zamani nao wataingia vitani kumsaidia Urusi.hii nayo ni sababu nyingine inayowafanya NATO waingiwe na mawazo.

Sababu za washirika wa Urusi kuingia ni kwamba kwa mfano china.china ataona kama Urusi akishindwa maana yake uchina nae atafuata kupigwa na USA na washirika wake,hivyo ataona ni Bora kumsaidia Urusi ili kumdhibiti USA na mabeberu wenzake.

Hali hiyo Iko hivyo kwa Korea Kaskazini.

Hebu fikiria kama Venezuela na Cuba kama zingekua na uwezo wa kijeshi zingefanyaje kama vita ya Urusi na NATO ikitokea.

Watu wengi hawajui kua upande wa East wamajizatiyi sana kijeshi kuliko hata kiuchumi,angalia TU Korea kaskazini.hii ni kwa sababu vitisho vya kuvamiwa vimekua vikubwa mno.kila siku USA unasema itaivamia Korea Kaskazini.nayo Korea ikaamua kujizatiti kijeshi zaidi kwanza uchumi baadae.

Hebu Sasa tuangalie uwezo wa kijeshi kati ya Ukraine na nchi zilizovamiwa na USA NATO.

Kijeshi Ukraine ni Bora zaidi kuliko Iran, Afhanistan,na hata Libya.Angalau Yugoslavia ilikua na uwezo,haya hivyo haikua Yugoslavia kamili kwa sababu ilkua tayari imeanza kusambaratika.

Afhanistan haikua na Jeshi la majini wala la angani,haikua na Jeshi la ardhini lililokamilika zaidi ni jeshi la wanamgambo.

Jeshi la Iraq halikua imara kama Ukraine ya Leo.
Syria ilishakamatwa %80 na waasi.

Ukraine Ina silaha nyingi sana,Kambi nyingi za kijeshi,jeshi Bora kabisa. Naliliofundishwa na USA UK na NATO.wengine kwa miaka minane.

Baada ya vita kuanza Ukraine imekua ikipata taarifa za kiintelijensia kutoka taasisi zote kubwa za kiintelijensia za Upande wa west NATO.

Imekua ikipata ushauri wa kijeshi kutoka wataalamu wa kivita wa nchi zote za Upande wa west NATO.

Imekua ikipata michango ya silaha kutoka nchi zote za NATO.

Imekua ikipata misaada ya fedha na kilojistiki kutoka nchi za NATO.

Imekua ikitiwa moyo kutoka nchi za west nato na washirika wao wa mbali kama Japan na Australia.

Imesaidiwa kiuchumi kwa kudhoofisha Urusi kiuchumi kwa kuwekewa vikwazo vikubwa sana..

Sasa hebu fikiria Urusi ni nchi ya aina Gani kupigana na nchi inayosaidiwa kwa Kila kitu kutoka mataifa makubwa sana kiuchumi na kijeshi zaidi ya mataifa 35+
 
Mbuzi wa kafara,mgogoro wa ukraine IMF & WORLD BANK sasa wamepata ukichanganya na corona sasa wanahema na kupumua hawa wahunii wa dunia,....Hao wanachama wengi (si wote)wa nato ambao chumi zao zilijengwa kwa uhuni,unyang'anyi na ujanjaujanja watapata pigo kubwa sana wakithubutu kuingia vitani moja kwa moja::NB VITA YA TATU IKOTEKEA ITABIDILISHA MAISHA,MTAZAMO NA ULIMWENGU MZIMA- man is nothing but animal.
 
Yeah nhe hii ndio uchambuzi wa middle class wa kitanzania ambaye furaha yake ni vita,athari zake ambazo tunaathirika nazo hazioni kabisa
 
Urusi apige magoti tunaweza kufikiria kumpa uanachama wa NATO ili aweze kuimarika kijeshi.
Raisi wako zelensky Leo katoa announcement ana lalamika kuwa Russia Wana miliki asilimia 20 ya nchi ya Ukraine eneo ambalo ni kubwa kiasi Ambacho unaweza uka combine nchi 3 za ulaya magharibi endeleeni kupokea doze [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna swali moja Dogo sana ambalo Mnaulizwa na mara zote mnalikwepa....je ni kwa nini maka sasa NATO haijapeleka majeshi uwanja wa vita kuipiga Urusi?
Wapeleke majeshi kwasababu gani?
 
Raisi wako zelensky Leo katoa announcement ana lalamika kuwa Russia Wana miliki asilimia 20 ya nchi ya Ukraine eneo ambalo ni kubwa kiasi Ambacho unaweza uka combine nchi 3 za ulaya magharibi endeleeni kupokea doze [emoji16][emoji16][emoji16]
Pia kasema askari wake kati ya 160 - 240 wanauwawa kila siku kwenye mapigano.
Lakini hajaona sababu ya kusimamisha vita
 
Kwani Libya NATO walipeleka jeshi kwa sababu gani siku zui Gaddafi asifanye mauaji zaidi na mauaji anayofanya Russia ni makubwa kuliko aliyofanya Gaddafi lakini km haoni
Libyia ilikuwa ni mgogoro baina ya waasi na serikali , sijui hizo story nyingine mnatoaga wap?
 
Hana uwezo wakusimamisha vita wakati wafadhiri wake bado wanaona faida bado, zaresky ni mateka wa Nato na US, wa Ukuraini wanajutia kua na Raisi kama huo.
bongo tuna vichaa weng sema hamjijui tu , uvamiwe hlf ubembelez aman huku mwenzio anakudunda tu
 
Back
Top Bottom