Salamu zenu wapendwa???...
Kutokana na experience ya hapa na pale,watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana..Je nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu???...na nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi????
Waiting for your suggestions............
salamu zenu wapendwa???...
Kutokana na experience ya hapa na pale,watu wameonekana kulalamikia physics ya a-level kuwa ni ngumu sana..je nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu???...na nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi????
Waiting for your suggestions............
physics ni somo gumu kweli.. Haliwezekani likaonekana jepesi mkuu... Lina vitu vingi sana...
Kwa mtazamo wangu advanced physics sio ngumu kiviiile ila huonekana ngumu kwa sababu kadhaa
-topics ni nyingi alafu muda wa miaka miwili hautoshi kucover na kumaster vizuri concepts though watu wanapambana sana wanatoka
-kukosekana kwa walimu wanaofundisha vizuri. ..wengi husoma kwa kuunga unga mara mchiki down mara mapambano ili mradi tafrani
-nn kifanyike nitarudi baadae na wengine wataongezea.
akaze tu hakuna ujanja hapoSalamu zenu wapendwa
Kutokana na experience ya hapa na pale, watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana. Je! Nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu? Nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi?
Waiting for your suggestions
Salamu zenu wapendwa

Ulikua uwanjani......unaujua mchezo!!!
Je ni jinsi gani unaweza kumuandalia miundombinu ya kimawazo mdogo wako anayeisoma leo hii..akawa katika wakati mzuri????
physics ni somo gumu kweli.. Haliwezekani likaonekana jepesi mkuu... Lina vitu vingi sana...
Salamu zenu wapendwa
Kutokana na experience ya hapa na pale, watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana. Je! Nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu? Nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi?
Waiting for your suggestions
Nakuunga mkono mkuuKwa mtazamo wangu advanced physics sio ngumu kiviiile ila huonekana ngumu kwa sababu kadhaa
-topics ni nyingi alafu muda wa miaka miwili hautoshi kucover na kumaster vizuri concepts though watu wanapambana sana wanatoka
-kukosekana kwa walimu wanaofundisha vizuri. ..wengi husoma kwa kuunga unga mara mchiki down mara mapambano ili mradi tafrani
-nn kifanyike nitarudi baadae na wengine wataongezea.
100% you're correct, njia sahihi ya kufanikiwa sio katika phyics au masomo bali hata maisha ni KUPENDA UFANYACHO!!sijawahi kuuona ugumu wa physics...kama analipenda somo..atalielewa tu..
NAKUBALIANA NA WEWEmwambie aache kusoma vi_pamphlet vya mtaani.. Asome vitabu vinavyoeleweka.. Ngoja nikupe list
1. Calculation for A level physics
2. Understanding physics
3. Principles of physics class XI & XII by rohik mehta..
4. Advanced physics _ Nelkon
5. university physics... Pia ashirikiane na wenzake.. Apige msuli unaoeleweka na kama ni mtu wa mambo mengi apunguze... Ahsante
Walimu wanasababisha muione ngumu.Hili ni tatizo sugu kwa masomo ya sayansi.Physics imejaa concept zinahitaji understanding na sio kukariri,sasa hawa walimu wa siku hizi wengi wanawakaririsha.O level unaweza kubahatisha kwa kukariri manake you only apply the formula,ila a level unaweza kupewa swali linamis data zaidi ya moja,you need to derive the formulas first,ili uweze kuziapply.Hapo inahitaji uelewa mkubwa wa concepts za Physics.Ukizijua,Physics ni taaamu mno.
Daaaaaah.....Physics ni somo guma kwa wenye kusoma juujuu...ila kama unania ya kusoma phys na ukaacha vimichezo vingine na ukafocus kwenye masomo basi litakuwa moja ya masomo rahisi kwako......miaka ya karibuni tumeona A za phys advance zimeadimika sana lakini wale wanaofanya vizuri na hata wakapata B+ na B huliona ni somo jepesi tu (advance si lelemama....respect 2 PCM,I know how it waz) wadogo zangu mjipange
Walimu wanasababisha muione ngumu.Hili ni tatizo sugu kwa masomo ya sayansi.Physics imejaa concept zinahitaji understanding na sio kukariri,sasa hawa walimu wa siku hizi wengi wanawakaririsha.O level unaweza kubahatisha kwa kukariri manake you only apply the formula,ila a level unaweza kupewa swali linamis data zaidi ya moja,you need to derive the formulas first,ili uweze kuziapply.Hapo inahitaji uelewa mkubwa wa concepts za Physics.Ukizijua,Physics ni taaamu mno.
mkuu hatujuani humu..ila kuntajia hzo alama 20-45% ni dharau kubwa sana kwangu...ngoja tu nikupe info kidogo.. o-levo nilisoma benjamin mkapa,advance-mzumbe secondary,chuo-udsm CoET-course- civil engineering 3rd year..naomba utafakari mwenyew kwamba nilikuwa napataga ngapi
sijawahi kuuona ugumu wa physics...kama analipenda somo..atalielewa tu..
Nakuunga mkono mkuu
100% you're correct, njia sahihi ya kufanikiwa sio katika phyics au masomo bali hata maisha ni KUPENDA UFANYACHO!!
NAKUBALIANA NA WEWE
Mkuu juve, nimeshazoea kukuona kule lile jukwaa la kufikiria sana (jukwaa la intelijensia) kumbe na huku unafikaga!! tunahitaji mawazo yako mkuu!!