Ugumu wa Advanced Physics

Ugumu wa Advanced Physics

The Ape

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
330
Reaction score
475
Salamu zenu wapendwa
Kutokana na experience ya hapa na pale, watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana. Je! nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu? nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi?

Waiting for your suggestions
 
physics ni somo gumu kweli.. Haliwezekani likaonekana jepesi mkuu... Lina vitu vingi sana...
 
Salamu zenu wapendwa???...
Kutokana na experience ya hapa na pale,watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana..Je nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu???...na nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi????
Waiting for your suggestions............

Kwa mtazamo wangu advanced physics sio ngumu kiviiile ila huonekana ngumu kwa sababu kadhaa

-topics ni nyingi alafu muda wa miaka miwili hautoshi kucover na kumaster vizuri concepts though watu wanapambana sana wanatoka

-kukosekana kwa walimu wanaofundisha vizuri. ..wengi husoma kwa kuunga unga mara mchiki down mara mapambano ili mradi tafrani

-nn kifanyike nitarudi baadae na wengine wataongezea.
 
salamu zenu wapendwa???...
Kutokana na experience ya hapa na pale,watu wameonekana kulalamikia physics ya a-level kuwa ni ngumu sana..je nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu???...na nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi????
Waiting for your suggestions............

wasome kwa bidii
 
physics ni somo gumu kweli.. Haliwezekani likaonekana jepesi mkuu... Lina vitu vingi sana...

Ulikua uwanjani, unaujua mchezo.

Je ni jinsi gani unaweza kumuandalia miundombinu ya kimawazo mdogo wako anayeisoma leo hii, akawa katika wakati mzuri?
 
Kwa mtazamo wangu advanced physics sio ngumu kiviiile ila huonekana ngumu kwa sababu kadhaa
-topics ni nyingi alafu muda wa miaka miwili hautoshi kucover na kumaster vizuri concepts though watu wanapambana sana wanatoka
-kukosekana kwa walimu wanaofundisha vizuri. ..wengi husoma kwa kuunga unga mara mchiki down mara mapambano ili mradi tafrani
-nn kifanyike nitarudi baadae na wengine wataongezea.

Simple and clear.....
Umeeleweka mkuu.
 
Salamu zenu wapendwa
Kutokana na experience ya hapa na pale, watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana. Je! Nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu? Nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi?

Waiting for your suggestions
akaze tu hakuna ujanja hapo
 
sijawahi kuuona ugumu wa physics...kama analipenda somo..atalielewa tu..
 
Ulikua uwanjani......unaujua mchezo!!!
Je ni jinsi gani unaweza kumuandalia miundombinu ya kimawazo mdogo wako anayeisoma leo hii..akawa katika wakati mzuri????

mwambie aache kusoma vi_pamphlet vya mtaani.. Asome vitabu vinavyoeleweka.. Ngoja nikupe list
1. Calculation for A level physics
2. Understanding physics
3. Principles of physics class XI & XII by rohik mehta..
4. Advanced physics _ Nelkon
5. university physics... Pia ashirikiane na wenzake.. Apige msuli unaoeleweka na kama ni mtu wa mambo mengi apunguze... Ahsante
 
Walimu wanasababisha muione ngumu. Hili ni tatizo sugu kwa masomo ya sayansi. Physics imejaa concept zinahitaji understanding na sio kukariri, sasa hawa walimu wa siku hizi wengi wanawakaririsha.

O level unaweza kubahatisha kwa kukariri manake you only apply the formula, ila a level unaweza kupewa swali linamis data zaidi ya moja, you need to derive the formulas first, ili uweze kuziapply.

Hapo inahitaji uelewa mkubwa wa concepts za Physics. Ukizijua, Physics ni taaamu mno.
 
physics ni somo gumu kweli.. Haliwezekani likaonekana jepesi mkuu... Lina vitu vingi sana...

well said...huu ndo ukweli haswaa...kinachotakiwa ni kuongeza juhudi tu katika kulisoma
 
Daaaaaah, Physics ni somo gumu kwa wenye kusoma juujuu...ila kama unania ya kusoma phys na ukaacha vimichezo vingine na ukafocus kwenye masomo basi litakuwa moja ya masomo rahisi kwako.

Miaka ya karibuni tumeona A za phys advance zimeadimika sana lakini wale wanaofanya vizuri na hata wakapata B+ na B huliona ni somo jepesi tu (advance si lelemama....respect 2 PCM,I know how it waz) wadogo zangu mjipange.
 
Salamu zenu wapendwa
Kutokana na experience ya hapa na pale, watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana. Je! Nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu? Nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi?

Waiting for your suggestions

mtoa mada kama nakujua vile......!
 
Kwa mtazamo wangu advanced physics sio ngumu kiviiile ila huonekana ngumu kwa sababu kadhaa
-topics ni nyingi alafu muda wa miaka miwili hautoshi kucover na kumaster vizuri concepts though watu wanapambana sana wanatoka
-kukosekana kwa walimu wanaofundisha vizuri. ..wengi husoma kwa kuunga unga mara mchiki down mara mapambano ili mradi tafrani
-nn kifanyike nitarudi baadae na wengine wataongezea.
Nakuunga mkono mkuu
sijawahi kuuona ugumu wa physics...kama analipenda somo..atalielewa tu..
100% you're correct, njia sahihi ya kufanikiwa sio katika phyics au masomo bali hata maisha ni KUPENDA UFANYACHO!!
mwambie aache kusoma vi_pamphlet vya mtaani.. Asome vitabu vinavyoeleweka.. Ngoja nikupe list
1. Calculation for A level physics
2. Understanding physics
3. Principles of physics class XI & XII by rohik mehta..
4. Advanced physics _ Nelkon
5. university physics... Pia ashirikiane na wenzake.. Apige msuli unaoeleweka na kama ni mtu wa mambo mengi apunguze... Ahsante
NAKUBALIANA NA WEWE
Walimu wanasababisha muione ngumu.Hili ni tatizo sugu kwa masomo ya sayansi.Physics imejaa concept zinahitaji understanding na sio kukariri,sasa hawa walimu wa siku hizi wengi wanawakaririsha.O level unaweza kubahatisha kwa kukariri manake you only apply the formula,ila a level unaweza kupewa swali linamis data zaidi ya moja,you need to derive the formulas first,ili uweze kuziapply.Hapo inahitaji uelewa mkubwa wa concepts za Physics.Ukizijua,Physics ni taaamu mno.

Mkuu juve, nimeshazoea kukuona kule lile jukwaa la kufikiria sana (jukwaa la intelijensia) kumbe na huku unafikaga!! tunahitaji mawazo yako mkuu!!
 
Duu! Umenikumbusha A yangu ya Advanced Physics..! Msuli tu ndo mpango mzima.

Kama anafanya PCB, akikomaa sana kwenye Physics anakuwa na chance kubwa ya kupata A kuliko akiapply msuli huo huo kwenye Biology.

Chemistry huwa haitishi sana, labda Inorganic.
 
Daaaaaah.....Physics ni somo guma kwa wenye kusoma juujuu...ila kama unania ya kusoma phys na ukaacha vimichezo vingine na ukafocus kwenye masomo basi litakuwa moja ya masomo rahisi kwako......miaka ya karibuni tumeona A za phys advance zimeadimika sana lakini wale wanaofanya vizuri na hata wakapata B+ na B huliona ni somo jepesi tu (advance si lelemama....respect 2 PCM,I know how it waz) wadogo zangu mjipange

Nice saying...bro!!
 
Walimu wanasababisha muione ngumu.Hili ni tatizo sugu kwa masomo ya sayansi.Physics imejaa concept zinahitaji understanding na sio kukariri,sasa hawa walimu wa siku hizi wengi wanawakaririsha.O level unaweza kubahatisha kwa kukariri manake you only apply the formula,ila a level unaweza kupewa swali linamis data zaidi ya moja,you need to derive the formulas first,ili uweze kuziapply.Hapo inahitaji uelewa mkubwa wa concepts za Physics.Ukizijua,Physics ni taaamu mno.

Hivi kuna uhusiano mkubwa kati ya O-level physics na A-level physics????
 
mkuu hatujuani humu..ila kuntajia hzo alama 20-45% ni dharau kubwa sana kwangu...ngoja tu nikupe info kidogo.. o-levo nilisoma benjamin mkapa,advance-mzumbe secondary,chuo-udsm CoET-course- civil engineering 3rd year..naomba utafakari mwenyew kwamba nilikuwa napataga ngapi

Nimeipenda hiyo asee.
 
Nakuunga mkono mkuu

100% you're correct, njia sahihi ya kufanikiwa sio katika phyics au masomo bali hata maisha ni KUPENDA UFANYACHO!!

NAKUBALIANA NA WEWE

Mkuu juve, nimeshazoea kukuona kule lile jukwaa la kufikiria sana (jukwaa la intelijensia) kumbe na huku unafikaga!! tunahitaji mawazo yako mkuu!!

Tupo pamoja mkuu.Thanks
 
Back
Top Bottom