Kwa mtazamo wangu advanced physics sio ngumu kiviiile ila huonekana ngumu kwa sababu kadhaa
-topics ni nyingi alafu muda wa miaka miwili hautoshi kucover na kumaster vizuri concepts though watu wanapambana sana wanatoka
-kukosekana kwa walimu wanaofundisha vizuri. ..wengi husoma kwa kuunga unga mara mchiki down mara mapambano ili mradi tafrani
-nn kifanyike nitarudi baadae na wengine wataongezea.
mkuu hatujuani humu..ila kuntajia hzo alama 20-45% ni dharau kubwa sana kwangu...ngoja tu nikupe info kidogo.. o-levo nilisoma benjamin mkapa,advance-mzumbe secondary,chuo-udsm CoET-course- civil engineering 3rd year..naomba utafakari mwenyew kwamba nilikuwa napataga ngapi
kaka tatizo la physics unaisoma, unaelewa na unaenjoy. njoo kwenye pepa, utaikubali mwenyewe.
Hivi kuna uhusiano mkubwa kati ya O-level physics na A-level physics????
ni kweli mkuu..ila mara nyingi hakuna mwalimu anayetunga swali jipya kwenye physcs maswali ni yale yale..kufaulu physics kunahitaji kuelewa na kulipenda somo na pia kufanya maswali mengi uwezavyo yenye kila aina ya concept..ukifata hvo vitu vitatu utafaulu tu...
ukitaka kuamini hii ni ngumu na itakuja kuwa janga la taifa siku zijazo, shule yetu B+ hazizidi 10 na shule ni ya kwanza kitaifa kwenye hili somo.
wasome kwa bidii
Haitoshi kusoma sana kwa bidii. Inabidi uwe unafahamu mkubwa wa hisabati(sio hesabu), pia uwe na imagination. Ukweli ni kwamba hivyo vitu viwili kuwa navyo ni zawadi kutoka kwa Mwenyezimungu.
Haitoshi kusoma sana kwa bidii. Inabidi uwe unafahamu mkubwa wa hisabati(sio hesabu), pia uwe na imagination. Ukweli ni kwamba hivyo vitu viwili kuwa navyo ni zawadi kutoka kwa Mwenyezimungu.
nilikuwa nafuatilia mjadala kwa ukaribu na nikaona kila mtu anaandika points za maana to the extent nikaona nisitie neno katika mjadala huu...mpaka nilipoona comment yako...hivi ni mtu mwenye akili gani anayeweza kuthubutu kusem kuwa English ni ngumu kuliko fizikia????............Mkuu jaribu kutumia kichwa chako vizuri...kichwa si sehemu ya kufugia nywele ni kwa ajili ya tafakuri tanzumi mbona naiona rahisi tu labda uniambie english labda kidogo. xema ni xomo gumu kwa weng jepes kwa wachache xana. 2metofautiana iq,
Salamu zenu wapendwa
Kutokana na experience ya hapa na pale, watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana. Je! Nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu? Nini kifanyike kwa wadogo zenu waione advanced physics ni somo jepesi?
Waiting for your suggestions
nilikuwa nafuatilia mjadala kwa ukaribu na nikaona kila mtu anaandika points za maana to the extent nikaona nisitie neno katika mjadala huu...mpaka nilipoona comment yako...hivi ni mtu mwenye akili gani anayeweza kuthubutu kusem kuwa English ni ngumu kuliko fizikia????............Mkuu jaribu kutumia kichwa chako vizuri...kichwa si sehemu ya kufugia nywele ni kwa ajili ya tafakuri tanzu
naunga mkono hoja English ngumu kuliko physics mkuu amepatia