Ugumu wa kufanya biashara Tanzania

Ugumu wa kufanya biashara Tanzania

Mkuu tupe maujanja Hali tete
Biashara tz. ukifanya kama wanavyotaka hutoboi kamwe, miaka miwili nyuma nilijaribu ku formalise biashara in terms ya kampuni ndogo ya....baada ya kujitamburisha tra, almashauri na kwingineko, miezi sita ilitosha kabisa kurudisha nyuma biashara na miezi michache inayofuata ninge turn tu zero, nikafunga kwa dharura, nikaua kampuni formally nikafungua tena biashara kwa namna ambayo inafaa zaidi, sasa mambo ni poa kabisa.
Biashara inaitaji ujasiri sana kwenye nchi kama tz.
 
Serikali inabidi irahisishe mazingira ya kufanya biashara nchi hii.

Hii ndio njia pekee ya kuondolana na umaskini.
 
Back
Top Bottom