Ugumu wa kupata kibarua hapa Bwawa la Umeme la Nyerere

Ugumu wa kupata kibarua hapa Bwawa la Umeme la Nyerere

Jamani kuhusu ajira kwa huo mradi saivi no ngumu kwakuwa huitaji wa wafanyajazi ni mdogo ila ukweli ni kwamba kwa mwarabu ajira inauzwa lakimoja bila lako hupati kazi na kwa mwalabu wameajiliwa mpaka wasiojua kazi Mimi nilijaribu bahati kwa mchina lakini yalinikuta Mambo Mimi n welder nikapiga test mchina akanikubali siku ya pili ilibidi nianze siku sita za uangalizi siku ya pili hasubuh nipo workshop nashika tu holder nikapoteza faham nikaanguka nikakosa kazi kwa mfumo huo ila cjakata tamaa naskia tanga Kuna bwawa jingine linaanza ujenzi naenda this time sirogekiiiiiii
 
Back
Top Bottom