Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kaka yako aliwatumia?Juzi kati walimpigia kaka yangu simu kuwa mwanaye wa darasa la 5 amevunjika mkono shuleni yupo hospitali moja hivi, na wakamtajia jina la mtoto kabisa. kaka akawaambia ngoja niongee na mama yake wakamwambia tuma pesa, yaani wanachofanya hawakupi mda wa kufikiri.
nachojiuliza mpaka saivi ni kuwa walijuaje jina la mtoto?