Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kaka yako aliwatumia?Juzi kati walimpigia kaka yangu simu kuwa mwanaye wa darasa la 5 amevunjika mkono shuleni yupo hospitali moja hivi, na wakamtajia jina la mtoto kabisa. kaka akawaambia ngoja niongee na mama yake wakamwambia tuma pesa, yaani wanachofanya hawakupi mda wa kufikiri.
nachojiuliza mpaka saivi ni kuwa walijuaje jina la mtoto?
HapanaKaka yako aliwatumia?
Mnanunua Bata kwenye simu?
Wnajitakia kutapeliwa, bata hujamwona, muuzaji humjui, yaani picha ya bata mtandaoni ndio utume pesa,Mnanunua Bata kwenye simu?
Sasa hapa wanatapeli vipi??kwamba utume hela then utumiwe hao bata?Bata ndege, Bukini au Mzinga, kwenye Magroup ya Facebook kwenye kilimo na mifugo
Nahitaji msaada wako , niwapate walionitapeliKwa upande wa software uko usiseme ata sasa ivi kutruck simu yako sasa ivi nakupa siku mbili nitakukamata kama kuku ila hizi ni biashara za wenyewe.
Kweli nimekumbuka ile mashine ya nida wahuni wa arusha waliiiba!Mkuu ila kumbuka na mashinevya NIDA Arusha wanayo mtaani waliibada