peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Uwe makini na uchokiandika. Hapo Tanzania inaingiaje sasa!???Ugumu wa maisha Tanzania, wanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
Kwani Tanzania ni nn?Uwe makini na uchokiandika. Hapo Tanzania inaingiaje sasa!???
Sio Tanzania apo ni KenyaUgumu wa maisha Tanzania, mwanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
View attachment 2694281
[emoji16]nimecheka huyo dingi aliyeteleza na kula mweleka!Ugumu wa maisha Tanzania, mwanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
View attachment 2694281
[emoji1787]Kamuingiza mtoto kwenye misala isiyomuhusu
Dogo kashakuwa baharia
Sasa ulitaka aandike ugumu wa maisha Dubai ili hali ajali imetokea Tanganyika?Uwe makini na uchokiandika. Hapo Tanzania inaingiaje sasa!???
Aisee! Ujinga wa mama kaua mtoto yeye kabaki!Mtoto kafariki mama amepona huko Kenya