Ugumu wa maisha Kenya, Mama ajirusha baharini na mtoto

Ugumu wa maisha Kenya, Mama ajirusha baharini na mtoto

Tumia uhuru wako vizuri kwenye kutoa habari vinginevyo utajikuta matatizoni kwa kukurupuka.
Acha kutishia watu, matatizo gani yatamkuta?,kutwa kulalama humu ,serikali ya CCM haioni aibu hapo uokoaji ni zero, watu wasiojua jinsi ya kuokoa wanashindana kumvuta mikono wakati hawajui wapi ameumia,wapi kikosi cha uokoaji?wilaya inatumia 600M kununua gari la DED,gari la zimamoto hawana!
 
Sasa ulitaka aandike ugumu wa maisha Dubai ili hali ajali imetokea Tanganyika?
Hiyo habari inajieleza hicho kivuko hakipo Tanzania, hivyo asikurupuke kuandika mambo asiyo na uhakika nayo. Ndiyo ujumbe wangu kwake.
 
Back
Top Bottom