Ugumu wa maisha; Mama anywesha wanae 5 sumu. Wawili wafariki dunia, watatu pamoja naye wanapatiwa matibabu

Mkuu Chachu Ombara umekua adimu sana humu jamvini
 
dah hatari sana, kanda ya ziwa na haya matokeo.

Tuliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania.
Tukaambiwa pia tupo uchumi wa kati...

Kuna watu inabidi wafunguliwe kesi kutokana na hivi vifo..
 
Wakat anazaa hovyo hovyo hakujua kama maisha ni magumu.

Alisikiliza maneno ya pimbi yule kuwa wafyatue tu
 
Inategemea na watu
Mbona tunasomesha yatima mpaka wanamaliza masomo?
Mimi namshukuru Mungu kwa hilo
Haimaanishi hakuna wanaokosa msaada hata wa mlo mmoja. Kuna wanaodai Kila mtu na riziki yake, wako pia kila mtu na bahati yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…