Ugumu wa maisha; Mama anywesha wanae 5 sumu. Wawili wafariki dunia, watatu pamoja naye wanapatiwa matibabu

Ugumu wa maisha; Mama anywesha wanae 5 sumu. Wawili wafariki dunia, watatu pamoja naye wanapatiwa matibabu

Huko si ndio kulikua kuanzishwe nchi mpya sasa wanajinyonga tena? aisee basi sawa siisiiiiemuuuu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tanzania ni nchi maskini ila Magufuli ameendelea kuwachovya Watanzania kwenye ufukara.
Samia ametwikwa mzigo mzito
 
Maisha ni kufundishana na kukumbushana
Kweli hata balozi wa nyumba 10 hana habari na watu wake

Ok labda sio majukumu yake vipi majirani yaani tumefikia ubaya huu hata hujui Jirani yako ana maisha yapi

Nashauri sio serikali tu hata waumini kwenye Nyumba za ibada wangekuwa wanatoa darasa la maisha kwa ujumla

Sio mara ya kwanza mambo haya yanatokea bali utakuta mtu anamuuwa mwenzie kwa deni la buku

Kama una shida bora kuisema tu
Binadamu alivyo na ubinafsi, angemsaidia huyo mama mpaka lini? Si ajabu kuna waliokuwa wakisaidia, ila kusaidia kwetu sio Kwa kutoa mtaji ili mwenye shida ajitegemee maana hatuna uwezo huo, Msaada ni wa kusaidia Kwa siku tu, kesho atoke tena kwenda kuomba Msaada. Hiyo huwachosha wote, muombaji na anayeombwa.
 
Duh kumbe pamoja na kuondoka bwana yule shida ziko pale pale?!!!!
Heheheh sio ziko pale pale, zimesogezwa mbele zaidi na karibu yako kama kivuli😅!

Yani kama zilikuwa nje ya nyumba sahizi zimesogezwa sebleni kwako ili zikutese vizuri!

Nadhani wale waliomtukanaga na kumuona mzee yule dikteta na hafai sahizi watakuwa wanaungama😅
 
Miaka 60 ya Uhuru!!!hali ya maisha ya mtanzania inasikitisha sana
Ajira ni tabu
Gharama za maisha hazifai
Watanzania wengi wamepoteza matumaini!!!
Wanasiasa ndio wanaotamba!?
Kweli ni huzuni Hili Taifa!
Kwa hali hii kujiua lazma iwe option rahisi zaidi kuliko kukaza! What do you live for kama huna furaha ya maisha!?
 
Maisha ni kufundishana na kukumbushana
Kweli hata balozi wa nyumba 10 hana habari na watu wake

Ok labda sio majukumu yake vipi majirani yaani tumefikia ubaya huu hata hujui Jirani yako ana maisha yapi

Nashauri sio serikali tu hata waumini kwenye Nyumba za ibada wangekuwa wanatoa darasa la maisha kwa ujumla

Sio mara ya kwanza mambo haya yanatokea bali utakuta mtu anamuuwa mwenzie kwa deni la buku

Kama una shida bora kuisema tu
Utakuta majirani zake nao ni choka mbaya ni kwamba hawajafikia tuu uamuzi wa kujitoa uhai
 
Watoto wawili wamefariki dunia baada ya mama yao mzazi, Veronica Gabriel (30), mkazi wa Kijiji cha Mwabagaru, Kata ya Buseresere, Wilaya ya Chato, mkoani Geita kuwanywesha sumu kisha na yeye kunywa kwa madai ya ugumu wa maisha.

Hata hivyo mama huyo amenusurika kifo licha ya kunywa sumu hiyo kwa madhumuni ya kujiua

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe inasema mama huyo mwenye watoto watano aliwanywesha watoto wote sumu ya kuua wadudu kwenye nyanya na wawili kati yao kufariki.

Watoto hao wanumri kati ya mwaka mmoja na miezi tisa na miaka 12.

Watoto waliofariki dunia kutokana na sumu hiyo ni mwenye umri wa miaka 12 na miaka miwili.

“Watoto wengine wamelazwa Kituo cha Afya, Bwanga pamoja na mama yao akiwa chini ya ulinzi wa Polisi,”amesema Mwaibambe

Mwananchi
30years watoto watano. African woman.
 
Binadamu alivyo na ubinafsi, angemsaidia huyo mama mpaka lini? Si ajabu kuna waliokuwa wakisaidia, ila kusaidia kwetu sio Kwa kutoa mtaji ili mwenye shida ajitegemee maana hatuna uwezo huo, Msaada ni wa kusaidia Kwa siku tu, kesho atoke tena kwenda kuomba Msaada. Hiyo huwachosha wote, muombaji na anayeombwa.

Inategemea na watu
Mbona tunasomesha yatima mpaka wanamaliza masomo?
Mimi namshukuru Mungu kwa hilo
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom