LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Hakuna maisha magumu, maisha ni maisha tu, hewa na maji ni msingi mkuu wa kuishi, chakula ni ziada tu na unaweza kukipata kwa wanaokula. Huyo mama huenda alikuwa na msongo wa mawazo na hakupata tiba mapema.
Kujiua na kuua si sulihisho la kutatua changamoto za maisha. Hata wenye pesa nyingi na uhakika wa kula mlo autakao wana changamoto maishani mwao kiasi cha kutamani kujiondoa uhai. Kujiua kwa ajili ya kukosa mahitaji fulani maishani ni uendawazimu