Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
- #101
Ushajijibu mwenyewe kwamba maisha magumu hayana kipimo unataka nipruvu nini zaidi!Good!
Huo ni uhalisia wako wewe. Kukosa kipimo hakuondoi uhalisia wa kitu. Ni kama unavyofanya wewe sasa hivi.
Sasa niambie ni unajuaje huo "uhalisia" wako ni sahihi? Na kwako uhalisia ni nini au una maana gani?
Jibu maswali yangu ili tuwe na intelligent debate as gentlemen.
Samico Tanzania Unakimbia nini aisee? Au unakubali hoja yako haina mashiko?
Jambo ambalo halina kipimo maana yake halipo!
Na lisipokuwepo maana yake ni la kufikirika! Halipo