Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
-
- #101
Ushajijibu mwenyewe kwamba maisha magumu hayana kipimo unataka nipruvu nini zaidi!Good!
Huo ni uhalisia wako wewe. Kukosa kipimo hakuondoi uhalisia wa kitu. Ni kama unavyofanya wewe sasa hivi.
Sasa niambie ni unajuaje huo "uhalisia" wako ni sahihi? Na kwako uhalisia ni nini au una maana gani?
Jibu maswali yangu ili tuwe na intelligent debate as gentlemen.
Samico Tanzania Unakimbia nini aisee? Au unakubali hoja yako haina mashiko?
Mtoto afundishwe kuchunga ng'ombe.Kwahiyo uzae na nyege zako halafu ulaumu wengine...unatakiwa upigwe ufe kwanza na mtoto ndo asaidiwe
Kila mzazi mwenye mwanafunzi anatakiwa awe anapeleka dawati moja na mahindi, mchele na maharage shuleni.Kwahiyo uzae na nyege zako halafu ulaumu wengine...
Haitokaa itokee! Kila jambo lina njia! Maisha ni simple sana lakini kuna watu walikuja kuwachanganya muone maisha ni magumu!siku ukiugua ugonjwa ambao miti shamba haitotibu na huna hata mia ndio utajua maisha ni magumu
Unafaham mifumo ya kitaasisi ni nini! Wee kama unaona maisha magumu ni wewe! Lakini ukweli ni kwamba maisha ni simple sana ukitumia mazingira ulipo ipasavyoKila mzazi mwenye mwanafunzi anatakiwa awe anapeleka dawati moja na mahindi, mchele na maharage shuleni.
Kwani pale Sua mnaposoma live stock keeping huwa mnafundishwa kurusha ndege? Si ni ufugaji tu na ulimaji!Mtoto afundishwe kuchunga ng'ombe.
Nilienda kuchunga kwanza maana ndiyo fursa niliyotakiwa kuifanya wakati huo! Ningeenda kusoma ningeruka stage halafu ningelalamika.Ugumu wa Maisha ndîo ulikufanya uende Manyara kuchunga mifugo badala ya kwenda shule kusoma
Bora ukose akili kuliko kushindwa kuitumia akili uliyonayo!Akili huna, samahani lakini mkuu
Nilienda kuchunga kwanza maana ndiyo fursa niliyotakiwa kuifanya wakati huo! Ningeenda kusoma ningeruka stage halafu ningelalamika.
Kila binadam anapokua huletewa njia zake! Watu Wengi wamejikuta dunia inawaharibia njia zao kwa kuishi maisha mengine
Mkuun naomba hii picha nimeshindwa kuisave
Wata rebolewa mpka wajute...Hapo kariakoo kuna watu wanatafta vijana waaminifu wa kubeba mizigo kuwapelekea parking!
Lakini kutwa vijana wako busy kuibia watu ambacho hawajui Ukifanya uaminifu mazingira yanatabia ya kukurebo .
.popote utakapokwenda unatembea na hiyo rebo ya mazingira uliyofanya kwa uaminifu inakuwa cv yako utakakokwrnda popote.
Ukifanya utapeli pia mazingira yanakurebo kwa utapeli wako!
Si uiscreen shot tuu...Mkuun aomba hii picha nimeshindawa kuisave
Kuna maisha halisi na maisha ya kuifurahisha jamii!Yapo Maisha Magumu na yapo Maisha mazuri .
Mtazamo wako NI mzuri Kwa Amani ya Moyo na kutosheka na ulichonacho na ulichojaliwa lakini haibadili ukweli kuwa Yapo Maisha magumu
Hujawahi kua na maisha nagumu kwanza useme hao ng'ombe huko Hanang walikua wa nani? Unatuletea soga na vigano hapa ushasema ulikua na ng'ombe unawachunga kisha ukapewa ng'ombe huoni km ulikua hauna maisha magumu?Elimu haijamsaidia! Maanake huyo alitakiwa kuwa bodaboda kwanza ndipo akasome chuo
Chifu Godlove kaja na ID nyingine hii analeta futuhi za Dotto MagariDaaah inasikitisha sana...toka ujipate naona umeaumua kujustfy....