Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Kipindi hiki malezi ya watoto yamekuwa magumu sana hasa wa kike walio katika foolish age, sababu ya contact kubwa ya watu tokea maeneo tofauti tofauti na utandawazi.
Yaani ni changamoto sana, watoto wengi wa kike wanaanza sex mapema sana. Yaani mtoto kike wa o level kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja ni kawaida tu.
Unakuta kaanza kutongozwa na kushikwa shikwa tokea akiwa mdogo hiyo inapelekea sex hormone kuzalishwa kwa kiwango kama Mtu aliyekuwa kabisa, hivyo binti anaanza kuwa tamaa kubwa ya ngono. Confidence ya kulala na wanaume.
Mzee mmoja mtaani kwetu binti yake wa form 2 katoroka kaenda kwa mwanaume Dodoma na kawaambia nyumbani atarudi akipenda, bahati nzuri saizi ni likizo. Shuleni hawajashtukia.