Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanao hajakomaa akili..mijinaba ya kupepea inampiga mashoka..ovyo..kwako itakuwa sawa pia!Binafsi hili mimi naliona kama lipo sawa tu, zama hizi sio zama zile.
Kutumia condom ili wasipate mimba na magonjwa ya zinaa ndio ngono salama.Salama na utulivu ndo ipi?
Labda sirikali ipunguze muda (miaka) unaotambuliwa wa ndoa. Huko ndo angalau Kuna salama na tulivu.
Hiyo nayo ni hatariShida nyingine ya hawa under 18, wakipata magonjwa ya zinaa huwa wanachelewa kupata tiba au wanapata tiba isiyoridhisha na kufanya magonjwa kuota sugu. Be aware of STDS kutoka KWA Hawa madogo utajuuuta si wengi mnauza games
Nilichoongea hakina "exception"Mwanao hajakomaa akili..mijinaba ya kupepea inampiga mashoka..ovyo..kwako itakuwa sawa pia!