Shida nyingine ya hawa under 18, wakipata magonjwa ya zinaa huwa wanachelewa kupata tiba au wanapata tiba isiyoridhisha na kufanya magonjwa kuota sugu. Be aware of STDS kutoka KWA Hawa madogo utajuuuta si wengi mnauza games