Ugumu wa mawasiliano, Taasisi na Ofisi za Serikali

Ugumu wa mawasiliano, Taasisi na Ofisi za Serikali

COPPER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
2,368
Reaction score
1,488
Ni bahati mbaya sana kuona mawasiliano mengi ya Ofisi na Taasisi za Umma zitumii namba za simu walizoweka katika mtandao hasa za TTCL.

Simu nyingi hazipatikani kwa kuwa hazijalipiwa hivyo kuleta usumbufu mkubwa sana kwa mtu mwenye kuhitaji huduma katika Taasisi husika.

Kama namba zimebadilishwa Umma ufahamishwe ili kuondoa huo usumbufu.
 
Back
Top Bottom