Ugunduzi binafsi: Tunapigwa kiujanja kwa kuikabidhi miradi chini ya Jeshi, haikidhi Vigezo kabisa

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji

1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?

2. Ujenzi wa Daraja la Selander

3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea

4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn

5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada

6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani

7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,

Tunapigwa sana

Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,

Britannica
 
Tuliandika na tutaendelea kuandika.
Awamu ya tano ndio awamu ambayo inafanya ufisadi wa kutisha kuliko awamu zote.
Sheria ya takwimu,kufutwa kwa uwazi serikalini, sheria ya kubana vyombo vya habari, kupoka madaraka ya bunge, kufurusha CAG,hivi vyote ni viashiria vya kuficha madudu yanayotendeka.
 
Nikweli kabisa
 
Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji

1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?

2. Ujenzi wa Daraja la Selander

3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea

4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn

5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada

6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani

7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,

Tunapigwa sana

Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,

Britannica
Upumbvu huu. Hovyooooooooo.
 
Kwa sasa tushazoea maana mwanzo tuliona maajabu mno upigaji wao wa waziwazi.....
 
Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji

1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?

2. Ujenzi wa Daraja la Selander

3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea

4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn

5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada

6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani

7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,

Tunapigwa sana

Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,

Britannica
Atakapoondoka, Madudu yatakayoanikwa hatamaliza hata wiki anakufa kwa presha walahi
 
Mwalimu alifanya makosa makubwa sana kutuachia katiba 'kiraka' namna hii.
Unamlaumu mwalimu kwa kukuachia Katiba kiraka wakati we ni mwananchi unauwezo wa kubadirisha chochote utakacho ndani ya nchi yako? Jitambueni, amueni, yote yanawezekana. Nchi ni ya wananchi na si ya mtu fulani. Uwoga wako ndio furaha yake, ndio ngao yake ya kuyaendeleza wewe mwananchi usiyoyataka.
Kwa hulka ya mtanzania wacha tuendelee kupigwa na kunyooshwa tu, labda Kuna kizazi huko mbeleni kitakuja kung'amua kuwa haya tunadanganywa, kwa speed hii tunaachwa nyuma ngoja tuamue.
 
Back
Top Bottom