Ugunduzi binafsi: Tunapigwa kiujanja kwa kuikabidhi miradi chini ya Jeshi, haikidhi Vigezo kabisa

Dah, ila ataondoka hata kwa divine intervention...tayari ni mgonjwa mgonjwa sana!
Nyie mlikuwa mnajua kumbe mapema kwanini hamkumuambia apate muda wa Kutubu? angetuambia hata Ben Sa8 alipo
 
."...razima niseme ukweri..hii nchi ni tajiri..imeriwa sana"....kumbe [emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Sasa hapo unamponda magufuli, ndungai, samia? Make wote walikua kapu moja.
 
Kuhusu ufisadi wa jiwe tulionya sana...sijui kama mnakumbuka tulivyopiga kelele kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali. Ule ukali wote, uminyaji wa demokrasia, utekaji, utesaji, mauaji, uteuaji wa wahuni kama Makonda, Mnyeti, Gambo, Sabaya, Chalamila na wengieno, wala hamkushtuka?

Mimi nawashukuru wazalendo popote walipo kwa kusimama kidete kumkoma nyani ngedere toka siku ya kwanza pamoja na hatari, vitisho na machungu hawajatetereka! Baada ya dhiki faraja na tuzidi kumuomba Mungu azidishe faraja baada ya kupitia bonde la mauti na kubahatika kutoka salama.
 
Mtazusha sana uongo, maana ndiyo njia pekee mliyobaki nayouongo kwenye mijadala baada ya kuishiwa hoja zenye nguvu.
Masikini wa Mungu TUJITEGEMEE, je bado upo au ni kiwiliwili tu! Pole sana.
Mbona mliambiwa mkaandamane mkaishia kubaki nyuma ya keayboard
Kuna cha ajabu hapo? Hivyo hivyo Wajerumani nao walishindwa kuandamana wakati wa Adolf Hitler! Hata Waganda walishindwa kuandamana wakati wa Idi Amin.
 
Ukiona mtu anataka kuhusishwa na kila kinachofanyika ujue kuna kitu anatafuta, kuna upenyo anataka kuutumia atupige.
Mbona leo unamtete??
Mkiitwa wanafiki mnalia??
Mpumbavu mkubwa wewe
 
."...razima niseme ukweri..hii nchi ni tajiri..imeriwa sana"....kumbe [emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787]
Mataga nakuona
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundo
 
Screenshot_20210408-193956_1.jpg
 
Acheni kutumika vibaya na vibaraka wa magharibi vijana wenzangu,
Uzushi wa namna hii haukubaliki kabisa hasa kwa mtu unayeishi katika nchi hii
Nalaani kwa nguvu zote upotoshaji na ulimbukeni wa UFIPA kukosa hoja za kiukosoaji dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
Nchi inajengwa na watanzania kwa kodi zao chini ya usimamizi mzuri wa kodi hizo zitumike kama ilivyokusudiwa kutumika

Kila raia mwenye macho na akili anaona jinsi kodi yake inavyotumika alafu leo unakuja na uzushi kuwa serikali hii ni ya kifisadi?
Acha kutumika kuchafua serikali yetu kwa ahadi za wa magharibi.
Miradi yote hiyo unayoitaja ulidhani ingetumia shilingi 1milion? Pesa ilotumika si halali? Una maanisha JPM na wasaidizi wake wamejikatia kilicho chao?, Au huamini kuona miradi mikubwa namna hii kufanyika Tanzania?
Unataka utuaminishe kuwa Tanzania haina uwezo wa kujijenga yenyewe?
Au ndio mlizoea kwenda kutoa macho huko ulaya kushangaa mataifa yao jinsi yalivojengeka?
Tuache uzandiki na kukosa akili kwa kutumika kuivuruga nchi kupitia uongo wa kundi la UFIPA lililokosa hoja mbadala zaidi ya kupinga kila kitu na kwa bahati mbaya mmevuna matunda ya upingaji wenu.
Hata Libya nakumbuka kulikuwa na makundi kama haya ya vibaraka wa magharibi ndani ya nchi yao yakihubiri chuki kwa wana nchi dhidi ya serikali ya Muamal Gaddafi.
Ondoeni ujinga wenu wa upingaji wa kila kitu ndipo huenda mkaja kuwa wapinzani wa kweli katika taifa hili.
Rais wetu ni mtu mwenye dgamira njema kuijenga nchi yake ifanane na huko tulikokuzoea kuwa ndiko maendeleo yaliko,
kila mtu anashuhudia kile kinachofanywa na rais wao.

Uzi mzima una kundi la wapinga maendeleo kweli?
Naona watu makini wanapita tu maana wanaona ni ujinga tu uliouandika mtoa mada.
We need a real Africanist leaders not puppets like UFIPA ganges
KWELI UFIPA NI WAZUSHI[emoji1787][emoji1787]
 
Screenshot_20210408-212618.jpg
 
Tulia Mataga wewe
Mnafiki mkubwa wewe si ndiyo ulikua team
Praise and worship ya jiwe
Unifahamu ndiyo maana nakuuita punguani, wanaonifahamu JF wanakushangaa unavyodania pipe kwa mbele.
 
Back
Top Bottom