Ugunduzi binafsi: Tunapigwa kiujanja kwa kuikabidhi miradi chini ya Jeshi, haikidhi Vigezo kabisa

Ugunduzi binafsi: Tunapigwa kiujanja kwa kuikabidhi miradi chini ya Jeshi, haikidhi Vigezo kabisa

katiba si kiraka bali vyombo vya kusimamia katiba ndo balaa. jiulize hii unayoita kiraka imebakwa mara ngapi bila aibu? hata itengenezwe katiba nzuri kiasi gani, bila vyombo madhubuti itabakwa na ikiwezekana bunge litaibadili
Katiba imempa mamlaka makubwa sana Rais, hiko ni kiraka kilitakiwa 'kizibwe' mapema.
 
Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji

1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?

2. Ujenzi wa Daraja la Selander

3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea

4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn

5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada

6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani

7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,

Tunapigwa sana

Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,

Britannica
Hacha wapige tu, la muhimu hayo mapesa, na kila aina nakshi tutaviacha, tutarudi udongoni Kama tulivyo, na hapa ndo ufundi wa mungu unakua wa kishindo sana
 
Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji

1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?

2. Ujenzi wa Daraja la Selander

3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea

4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn

5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada

6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani

7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,

Tunapigwa sana

Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,

Britannica
Acheni kutumika vibaya na vibaraka wa magharibi vijana wenzangu,
Uzushi wa namna hii haukubaliki kabisa hasa kwa mtu unayeishi katika nchi hii
Nalaani kwa nguvu zote upotoshaji na ulimbukeni wa UFIPA kukosa hoja za kiukosoaji dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
Nchi inajengwa na watanzania kwa kodi zao chini ya usimamizi mzuri wa kodi hizo zitumike kama ilivyokusudiwa kutumika

Kila raia mwenye macho na akili anaona jinsi kodi yake inavyotumika alafu leo unakuja na uzushi kuwa serikali hii ni ya kifisadi?
Acha kutumika kuchafua serikali yetu kwa ahadi za wa magharibi.
Miradi yote hiyo unayoitaja ulidhani ingetumia shilingi 1milion? Pesa ilotumika si halali? Una maanisha JPM na wasaidizi wake wamejikatia kilicho chao?, Au huamini kuona miradi mikubwa namna hii kufanyika Tanzania?
Unataka utuaminishe kuwa Tanzania haina uwezo wa kujijenga yenyewe?
Au ndio mlizoea kwenda kutoa macho huko ulaya kushangaa mataifa yao jinsi yalivojengeka?
Tuache uzandiki na kukosa akili kwa kutumika kuivuruga nchi kupitia uongo wa kundi la UFIPA lililokosa hoja mbadala zaidi ya kupinga kila kitu na kwa bahati mbaya mmevuna matunda ya upingaji wenu.
Hata Libya nakumbuka kulikuwa na makundi kama haya ya vibaraka wa magharibi ndani ya nchi yao yakihubiri chuki kwa wana nchi dhidi ya serikali ya Muamal Gaddafi.
Ondoeni ujinga wenu wa upingaji wa kila kitu ndipo huenda mkaja kuwa wapinzani wa kweli katika taifa hili.
Rais wetu ni mtu mwenye dgamira njema kuijenga nchi yake ifanane na huko tulikokuzoea kuwa ndiko maendeleo yaliko,
kila mtu anashuhudia kile kinachofanywa na rais wao.

Uzi mzima una kundi la wapinga maendeleo kweli?
Naona watu makini wanapita tu maana wanaona ni ujinga tu uliouandika mtoa mada.
We need a real Africanist leaders not puppets like UFIPA ganges
 
EXPANSION JOINTS....Mlimani hostels kanyimbo kaliimbwa balaa
 
Sijasoma uzi wako wote lakini wacha nicoment. Ni bora tu hiyo miradi waendelee kupewa jeshi tena naandika hapa kwa uchungu maana hawa wakandarasi wetu wengi hasa wazawa wamekuwa wajanja wajanja wanatuomba sisi magraduate cv zetu kwa ahadi wanaombea kazi halafu sisi hataambuli kitu na mirad yenyewe inacheleweshwa bila au kufanywa chini ya kiwango mikataba hakuna vijana tunateseka halafu viongozi wa serikli ni kama hawaoni sijui wanatka kila kitu Mh. Raisi ndio aje atetee. Vijana tunaonewa eti kisa kuna ukosefu wa ajira yaani natamani kazi zote wangepewa jeshi tu kuliko kuwapa wa kandarasi makanjanja.

Hivi wizara ya kazi na ajira ni kwamba hamyajui haya yote? Kama hamjui embu jaribuni kuzungukia site huko vijana wasomi na elimu zao wanateseka na ujira mdogo kwa miradi ya mbilioni tokeni ofisini jamani mkatetee wapiga kura wenu vijana wanaumia lakini hawana pakusumea maana hawana pakwenda. Natamani hii wizara angepewa mtu fulani hivi aliyekuw mkuu wa mkoo wa jiji kubwa hapa nchini nadhani vijana hasa mainjinia wangeonja matunda ya elimu zao.
 
Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji

1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?

2. Ujenzi wa Daraja la Selander

3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea

4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn

5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada

6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani

7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,

Tunapigwa sana

Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,

Britannica
Jamani tuache uongo!
Uongo hauna tija na ni kufuru kwa Mwenyezi Mungiu
 
Back
Top Bottom