katiba si kiraka bali vyombo vya kusimamia katiba ndo balaa. jiulize hii unayoita kiraka imebakwa mara ngapi bila aibu? hata itengenezwe katiba nzuri kiasi gani, bila vyombo madhubuti itabakwa na ikiwezekana bunge litaibadiliMwalimu alifanya makosa makubwa sana kutuachia katiba 'kiraka' namna hii.
Katiba imempa mamlaka makubwa sana Rais, hiko ni kiraka kilitakiwa 'kizibwe' mapema.katiba si kiraka bali vyombo vya kusimamia katiba ndo balaa. jiulize hii unayoita kiraka imebakwa mara ngapi bila aibu? hata itengenezwe katiba nzuri kiasi gani, bila vyombo madhubuti itabakwa na ikiwezekana bunge litaibadili
Aondoke?Atakapoondoka, Madudu yatakayoanikwa hatamaliza hata wiki anakufa kwa presha walahi
Hacha wapige tu, la muhimu hayo mapesa, na kila aina nakshi tutaviacha, tutarudi udongoni Kama tulivyo, na hapa ndo ufundi wa mungu unakua wa kishindo sanaKatika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji
1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?
2. Ujenzi wa Daraja la Selander
3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea
4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn
5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada
6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani
7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,
Tunapigwa sana
Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,
Britannica
Huko hafiki, naambiwa wezi wa kura wameanza kuharisha kama bata!Atakapoondoka, Madudu yatakayoanikwa hatamaliza hata wiki anakufa kwa presha walahi
Acheni kutumika vibaya na vibaraka wa magharibi vijana wenzangu,Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji
1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?
2. Ujenzi wa Daraja la Selander
3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea
4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn
5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada
6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani
7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,
Tunapigwa sana
Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,
Britannica
Aondoke aende wapi!??Atakapoondoka, Madudu yatakayoanikwa hatamaliza hata wiki anakufa kwa presha walahi
Jamani tuache uongo!Katika Awamu ambayo wizi umefanyika Bila aibu ni Awamu ya 5, Kuanzia kiongozi wa Juu hadi chini ni wapigaji
1. Ukarabati wa Meli ya MV Victoria inagharimu 20Bln?
2. Ujenzi wa Daraja la Selander
3. Ujenzi mpya wa Meli ya Hapa Kazi tu Ziwa Victoria, inatumia Billion 89 chini ya Jeshi na Wakorea
4. Ubungo Interchange tumepigwa bajet iliyopangwa si ilotumika, almost Disparence of 3Bn
5. Tuliambiwa Barabara ya Mwenge imetengenezwa kutokana na kuahirisha sherehe za Uhuru, lakini tukaja kugundua tumepewa msaada
6. Mpaka sasa hamjui Kuwa uchaguzi mkuu tunatangaziwa tumeji finance, ni uongo Pesa imekuwa supplemented na 30% kutoka kwa wahisani
7. Tunaambiwa standard gauge, tunajijengea lakini SA, Wamewezesha, hata wahisani wengine wameweka pesa,
Tunapigwa sana
Hapo sijaongelea corona na Hela ambayo tunawekewa kwenye Elimu na wahisani tunaambiwa ni Free,
Britannica
Dah, ila ataondoka hata kwa divine intervention...tayari ni mgonjwa mgonjwa sana!Aondoke aende wapi!??
Huyu tunae mzee baba mpaka Mungu amchukue, wanaungana na rafiki yake mkubwa Museven.
Mwalimu alifanya makosa makubwa sana kutuachia katiba 'kiraka' namna hii.
HakikaRais ajaye atakuwa na kazi ya Ziada kukabiliana na wizi wa Magufuli
Mkuu Dua lako Baya sana limempata mtu usirudie tena kuombe watu dua kama hizoSio katibu wa wizara!?
Ila jiwe Mungu ampende zaidi amchukue ampe kazi nyingine huko.
Ati?Aondoke aende wapi!??