We unashangaa watu hawamjui Nyerere?
Ushawahi kukutana na Waghana, Wanigeria, na Waafrika wengine ambao hata hawaijui Tanzania?
Mi nimeshakutana nao wa kutosha tu.
Hahaha noo fam...!
wengi wanaijua Kenya though na katika kujitambulisha kwangu huwa napenda kuongezea, "If you don't know nothing at all about my country - Tanzania - then I hope y'all leave with this knowledge: It's in my country where you find the second highest mountain after Everest, Mount Kilimanjaro."
Then all of a sudden people give you that 'aha' look...
Mentor,
Mlima Kilimanjaro haipo namba mbili. Nepal, Pakistan, India na China wanachukua top 50.
Kilimanjaro ni namba 120 na.
After Everest, it's K2 in Pakistan.
umenifanya nisomeeee...halafu nikakutana na hii: Ten Interesting Facts about Mt. Kilimanjaro | Blog Posts | WWF
"Mount Kilimanjaro is the tallest mountain on the African continent and the highest free-standing mountain in the world."
Nikaendelea na research nikakutana na hii: Six interesting facts about Mt. Kilimanjaro
"Measuring in at 19,341 feet (5,895m) tall, not only is Mount Kilimanjaro the tallest mountain in Africa, but it is also the highest free-standing mountain in the world. Japan’s highest free-standing mountain, Mt. Fuji, stands at 12,388 feet (3,776m) by comparison."
Nikaanza kujiuliza, ni wapi nilifundishwa hili la "mlima Kilimanjaro ni wa pili kwa ukubwa duniani baada ya Mt. Everest?"
Kabla sijapata jibu nikakutana na kituko ambacho ni sawa na tunayoyaongelea kwenye hii thread, kuwa mtu wa kwanza kupanda mlima Kilimanjaro alikuwa Mjerumani anaitwa Hans Meyer.
Kumbe wakati akipanda mlima alikuwa na babu yetu anaitwa Yohani Kinyala Lauwo!!! Kwa nini huyu kwa kuwa ni mwenyeji asiandikwe kuwa mtu wa kwanza kupanda mlima? Na kwa kuwa alikuwa guide wao si sahihi kuona kuwa alishawahi kuupanda kabla ndipo alipokuja huyu Hans yeye akampeleka?
Halafu huyu Lauwo ana bonge la historia ambayo wala hatufundishwi, kuwa, "he also went on to become one of the oldest people ever — living to the ripe old age of 124!"
Bado najiuliza ni mwalimu au ni nani alinidanganyaga kuwa mlima KLM ni wa pili...baada ya Everest..adios!!!
asante sana mkuu for the knowledge...!Mentor,
Umeandika vitu vingi sana na pia nimejifunza kitu kwako.
Mlima Kilimanjaro nimeupanda nikiwa shule. Pia nimeupanda Mlima Fuji wa Japan. Kuna vitu vingi tunajifunza tukipanda milima.
Tulifundishwa kuwa Edmund Hillary wa New Zealand ndiyo mtu wa kwanza kupanda Everest wakati mwenyeji wa Nepal, Tenzing Norgay, ndiye aliyemsaidia kujua njia ya mlima wake mpaka wakafika juu kabisa. Juzi ndiyo walianza kumtaja huyu msaidizi. Spotlight yote alichukua Mzungu kabla ya hapo.
Tulifundishwa kuwa Amerigo Vespucci ndiyo mtu wa kwanza kuvuka bahari ya Pacific na kuona ardhi ya Marekani ya leo mwaka 1500 (jina la "America" limetoka kwake) , lakini Viking wa Skandinavia anaitwa Leif Erikson alishafika mwaka 1000 A.D na meli zake.
Wachina pia walishavuka miaka hiyo hiyo ya 1000 - 1300.
Kwa wale tuliosoma kabla ya Google Search, tunategemea mwalimu anajua kila jibu la swali na kila kitu katika somo lake. Lakini tusisahau kuwa hatukuwa na uhuru kamili wa kufunzwa kila kitu na access ya vitabu tofauti vilikuwa kidogo.
Kama utapenda kujua zaidi kuhusu urefu wa milima tofauti duniani, angalia hapa:
Highest Mountains in the world
asante sana mkuu for the knowledge...!
Ninachofurahi bado itakuwa unique kuwaelezea watu: tallest in Africa and highest free standing mountain in the world..I think that's cool!!!
I agree. And that's what I tell folks in Japan. Bila kusahau the great Serengeti National Park
Teheee! Na Marekani anagombea uraisi!!!Angekuwa kada sasa hivi angekuwa waziri kwenye Serikali hii
Hii ni nadharia (theory) tu ,haijathibitishwa (proven) na pia sio ugunduzi yaani Invention kwa hiyo sielewi comment zako zinalenga nini hasa wakati hata jina la hiyo observation wameipa la huyo jamaa.Awezi pewa ati miliki hakuna ugunduzi hapo ndugu