Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
We unashangaa watu hawamjui Nyerere?
Ushawahi kukutana na Waghana, Wanigeria, na Waafrika wengine ambao hata hawaijui Tanzania?
Mi nimeshakutana nao wa kutosha tu.
Hahaha noo fam...!
wengi wanaijua Kenya though na katika kujitambulisha kwangu huwa napenda kuongezea, "If you don't know nothing at all about my country - Tanzania - then I hope y'all leave with this knowledge: It's in my country where you find the second highest mountain after Everest, Mount Kilimanjaro."
Then all of a sudden people give you that 'aha' look...