isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Imagine!Mchele tunakula tu, ungekua unafungwa na unajua kabisa hii ni Kihurio, Kyela au Ifakara. Sasa hivi unategemea mdomo wa Mangi kujua unanunua Ifakar aai Kyela
Linaweza kaushwa kisha likawa laminated au waxedNinawaza jani la mgomba ndiyo kifungashio cha nyama kule vijijini, jani linahifadhi damu na maji. Hili jani linaweza kuboreshwa zaidi na kuuzia vyakula fresh.
Nadhan migomba inatosha aisee,moshi,arusha,bukoba,mbeya. Na ngomba mmoja majani ya kutoshaNa likatengeneza mfuko. Na kuongeza kilimo cha migomba kwakua matumizi yameongezeka
Huwa najiuliza yapo maharage mazuri ,upo mchele mzuri super market ambao umechambuliwa na kufungashwa vizuri. Kwa nini hatununui ule? Ni wachache sana wanachukua. Je tunataka na huu mwingine wachambue, wafungashe bei iwe ile ile? Bado tunanunua na kupepeta na kuchambua kutoa mawe na chuya. Je hayo maharagwe ukichemsha kilo utauza bei gani?Mchele tunakula tu, ungekua unafungwa na unajua kabisa hii ni Kihurio, Kyela au Ifakara. Sasa hivi unategemea mdomo wa Mangi kujua unanunua Ifakar aai Kyela.
Unaangalia bei ya sokoni iko vipi, demand ikiwa kubwa hata ukiweka sh 1,000 ya ziada kwa kilo utapata faidaHuwa najiuliza yapo maharage mazuri ,upo mchele mzuri super market ambao umechambuliwa na kufungashwa vizuri. Kwa nini hatununui ule? Ni wachache sana wanachukua. Je tunataka na huu mwingine wachambue, wafungashe bei iwe ile ile? Bado tunanunua na kupepeta na kuchambua kutoa mawe na chuya. Je hayo maharagwe ukichemsha kilo utauza bei gani?
Okay. Ni kweli demand inaweza kuwepo. Ukichukulia mfano maeneo ya chuo chuo si wengi wanapenda husles za kupika. Hata ukiwa na frozen kande at reasonable price watakula. Cha muhimu ni kujua wateja wako ni kina nani.Unaangalia bei ya sokoni iko vipi, demand ikiwa kubwa hata ukiweka sh 1,000 ya ziada kwa kilo utapata faida