Ugunduzi wa zaidi ya tani 2,000,000,000 za madini adimu ya Dunia yaliyopatikana Marekani unaweza kuifanya nchi hiyo kuwa 'kiongozi mpya wa dunia'

Lazima tu kuna kitu hakiko sawa mahali fulani.
Hili moja ya swali waafrika wengi hatupendi kujiuliza kwa sababu majibu yake yanaweza hata kutuumiza.

Majibu yake yanagusa sehemu nyingi sana.
 
Unaweza kuta wanayaiba congo halafu wanatangaza yapo kwao. Mzungu sio mtu wa kumwamini.
 
Hivi tulivyo navyo tu vimetusaidia na nini wakati nchi kila uchao inarudi kinyumenyume kama treni ya godegode.
Kama hujui vinetusaidia nini utakuwa na matatizo makubwa sana.

Tufanye havijatusaidia,Je wengine vimewasaidiaje? Nataka nijifunze hapo
 
We are on right track,tutakuwa ni mojawapo ya Nchi Zenye hayo Madini Duniani πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/mamanafanikisha/status/1856614285582987576?t=_8rAEZLSxo5hUh4v_ThNhw&s=19
Graphite japo inatumika kwenye batteries za magari, lakini siyo REE. Graphite, cobalt na manganese, japo yote yanatumika kwenye modern technology lakini siyo REE.

Halafu hizo taarifa kuwa Tanzania inaoongoza kwenye reserve ya graphite, sijui watu wanaokota wapi hizo taarifa!!

Worldwide, nchi zenye biggest reserve ni
1) Uturuki 2) Brazil 3) China 4) Magascar 5) Mozambique 6) Tanzania.

Na mzalishaji mkubwa mpaka sasa ni China ikifuatiwa na Msumbiji.
 
Wapi imeandikwa inaongoza? Tuko top 10 tunashika namba 6.

Hata hayo mengine tunayo πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DB0b5P4tXAc/?igsh=MWYzYWt4MXBibjJhMA==
 
Kila siku Madini madini , mamaa, mamaa. lakini Nchi iko hoi. Kuna faida gani kuwa na madini, au rasilimali Tanzania?
 
Kuna manchi yamebarikiwa sio mchezo! Resources, akili, and everything else.
Mnapoambiwa kuwa Mungu alisema atambariki atakayembariki Israel mnafikiri ni hadithi. Baraka za Marekani zipo kwa Israel na ndio maana wanalikumbatia lile taifa kwa nguvu zote.

Pia alisema nitamlaani atakayekulaani Israel. Kwa hili inawezekana Ujerumani alianguka sababu ya kuwaua wayahudi million 6. Na ukifuatilia historia inaonyesha Ujerumani ndio iliyokuwa inaelekea kuwa Taifa kubwa duniani lenye nguvu kuliko yote.

Mwenye Masikio na ayasikie haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…