Uhaba wa Degree Programmes za Literature Vyuo Vikuu unasababisha uhaba wa Walimu wataalamu wa Literature mashuleni

Uhaba wa Degree Programmes za Literature Vyuo Vikuu unasababisha uhaba wa Walimu wataalamu wa Literature mashuleni

Lengo la kusoma si kuajiriwa. Unaposoma chochote lenga kutumia elimu yako bila kuajiriwa na mtu no matter ni nini unasoma with exception ya vitu vichache sana. Hao waliko mtaani ni jukumu lao kutumia elimu yao kuifanyia kazi kama jinsi ambavyo wewe umefanyia kazi yako. Tuna mifano mingi ya waliosoma animal science, aquatic culture, agriculture na vingine vingi na bado wanasubiri ajira. Ni jukumu la mtu mwenyewe kutumia elimu yake vyuo havina kazi ya kukufuata mtaani vikutafutie kazi baada ya kukufundisha wakati wote. Unachokiita viima na viarifu ni kitu ambacho kinafanya watu wanaendesha maisha vizuri sana. Si kwakua huelewi ama hujawahi kuona basi utape haki ya kusema hakina faida wakati tupo ambao tunaona matunda yake na tunatamani wengine pia wafaidike kama sisi.
Kwenye literature yenu huwa wanazingatia sana mpangilio wa aya. Wewe ulikuwa dodger? Mbona unarundika maneno au ndio madhara ya fani yenu kupunguzwa kufundishwa.
 
Back
Top Bottom