Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,378
- 1,866
- Thread starter
- #21
Kukopa sio njia nzuri, madeni yakizidi pia ni hatari kwa taifa.Kwa ufupi Dollar nyingi zitakuja endapo tutakopa pesa zaidi au tusubirie msimu wa watalii
Ninaamini njia nzuri na ya dharura kwa Tanzania ni kuongeza uzalishaji wa bidhaaa za kilimo na kupunguza uagizaji wa bidhaa zinazoweza kuzalishwa hapa nchini kama mafuta ya kula, mbolea, bidhaa za ngozi, bidhaa za katani, pamba, chikichi na tumbaku nk.
Njia hii itasaidia fedha za kigeni zinazoingia zisitoke kwa wingi bali kwa vitu vya lazima pekee.
Vitu hivi vikiwekewa mkazo vinaweza kuzalishwa hapa nchini kwa kiwango cha kutosheleza na kuzidi, shida ni UBINAFSI wa viongozi wetu.