Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
Ndio nyie huwa mnasema mna mawazo ila hamna mtaji? Bora Mungu hakuwapa mitaji.
 
Back
Top Bottom