Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
Kawekeze wewe uwe bilionea. Akili sifuri kabisa.
 
Wa-Nigeria hiz fursa wanatembea nazo vizur tu
 
Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
Ndio nyie huwa mnasema mna mawazo ila hamna mtaji? Bora Mungu hakuwapa mitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…