Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Wakati fulani zilikuwa bwerere kwani zile za burea de change ziliingia kwenye store moya.🤔Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli,Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama,kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabayaKuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Lakini dola ilipatikana ya kutoshaBureau de Change waliochota hela na kubeba mpaka computers zao
Hivi walipeleka wapi?
Mbona waliacha vilio
Toa ushahidi wa unachodai wenye dollar yao wameiondoa kwenye mzungukoNyie wafuasi wa jiwe acheni upumbavu tatizo la dora kuadimika liko karibia nzima na hii inasababishwa na wenye dora yao kupunguza $ kwenye mzunguko ya wa biashara duniani ili wapambane na mfumko wa bei kwenye nchi yao.
Wewe hata kuandika neno dola unashindwa ni kazi kwako utakuwa na akili kweli? Pumbavu zako bwege wewe!Nyie wafuasi wa jiwe acheni upumbavu tatizo la dora kuadimika liko karibia nzima na hii inasababishwa na wenye dora yao kupunguza $ kwenye mzunguko ya wa biashara duniani ili wapambane na mfumko wa bei kwenye nchi yao.
Mtajua hamjuwiKuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Unataka ushahidi gani zaidi ya haya unayo yaona umeshaambiwa kuwa upungufu wa $ uko dunia nzima sasa unataka ushahidi gani?Toa ushahidi wa unachodai wenye dollar yao wameiondoa kwenye mzunguko
Mlamba asali mwingine huyu hapa!Nyie wafuasi wa jiwe acheni upumbavu tatizo la dora kuadimika liko karibia nzima na hii inasababishwa na wenye dora yao kupunguza $ kwenye mzunguko ya wa biashara duniani ili wapambane na mfumko wa bei kwenye nchi yao.
Tulikuwa tunachangia humu ndani kuwa hizo bureaux zilipofungwa ilikuwa ni hatua sahihi. Wengine walitubeza kuwa hatujui kitu.Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Si bora mm nisiye jua kuandika kuliko ww kuwa na upumbavu wa kiwango cha kumuabudu jiwe kama mungu.Wewe hata kuandika neno dola unashindwa ni kazi kwako utakuwa na akili kweli? Pumbavu zako bwege wewe!
Wamkumbuke yule katili?[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]hebu kuwa serious bhana yule alowatesa wafanyabiashara wakaishi kama mashetani leo wamkumbuke?[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,