Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

tulikuwa tunachangia humu ndani kuwa hizo bureaux zilipofungwa ilikuwa ni hatua sahihi.wengine walitubeza kuwa hatujui kitu.hizo bureaux zinatumiwa na mafisadi kutorosha pesa nje kama ilivyo kwa kenya.Pr Luoga alikuwa makini sasa huyu wa sasa ni laizez affair na sidhani kama anayaelewa vizuri haya mambo ya fedha.
Hakuna uhusiano wowote wa unachokiongea na kuadimika kwa $ .

Hayo maduka yapo miaka na miaka hata kabla ya jiwe kuyafunga na hakujawahi kutokea uhaba wa $.
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Waliambiwa kuna siku watamkumbuka mwamba huyu wakaendelea kujihadaa na uramba asali na uchawa uchwara.
 
Wewe kila siku huwa nakuambia unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki. Jana nilikupa ushahidi wa dola ilivyoadimiKa middle East hata huko quwait wamekataza kufanya biashara kwa dola ww unataka ushahidi gani ???? Au hujui kimombo?
🤣🤣 ujinga wa kihalaiki? Aisee
 
Wamkumbuke yule katili?[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]hebu kuwa serious bhana yule alowatesa wafanyabiashara wakaishi kama mashetani leo wamkumbuke?[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Huna malinda
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Kaka naomba nicheki kwa namba hizi hapa whatup!

I wrote caution andiko Jana kwenye social media kwamba tunaenda kukumbwa na wimbi la dollar scarcity soon!

Naona yameanza kariakoo!Duuu

+255746726484

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Nyie wafuasi wa jiwe acheni upumbavu tatizo la dora kuadimika liko karibia nzima na hii inasababishwa na wenye dora yao kupunguza $ kwenye mzunguko ya wa biashara duniani ili wapambane na mfumko wa bei kwenye nchi yao.
Hiyo kupungua naelewa kwenye mzunguko naelewa, ila nilichokuuliza ni pale wewe umesema wenye dollar yao wameiondoa kwenye mzunguko, hili ndo naomba ushahid
 
🤣🤣 ujinga wa kihalaiki? Aisee
Ujinga wa kihalaiki ndiyo... collective cimbilization.Unakubali kujingishwa nawe unajingishwa. Umeambiwa dola zimepungua kote duniani na ukapewa na sababu. Kwasababu mna majibu yenu mnayotaka kusikia ili mpeane faraja wewe unataka ushahidi! Kwani si utafute taarifa? Au unataka kusema kwasababu mwigulu ndiyo wazir wa fedha nq SSH ndiyo raisi ndo mana hamna dola?
 
Wangekuwa wanafuatlia mambo kabla ya kutoa hitimisho ingewasaidia sana. Tatizo la upungufu wa dola ni la dunia nzima. Hakuna cha kumsifia mtu hapa
.
Screenshot_20230430-113713.jpg
 
Mwandishi huna akili. Dola kuadimika hakuwezi kuwafanya wamkumbuke yule jambazi wa kidola. Alikwapua fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara na watu binafsi mwizi yule asosameheka muuaji aliyesahau naye angekufa.
 
Back
Top Bottom