View attachment 2636158
Halafu baada ya hapo unatafuta sababu za kusingizia wengine.
Ni vitu vya kushangaza sana nchi hii yaani watu wanachukua hatua na kuachia mambo; halafu baada ya hapo wanatafuta wakumsingizia.
Ubadharifu unapokuwa mkubwa serikalini unatengeneza artificial economy kwenye demand side na haya ndio madhara.
Sasa wewe uache watu waibe mihela kirahisi unadhani wengine watazificha wapi, hapo hapo ulegeze masharti ya bureau de change.
Halafu wanatoka na upuuzi Magufuli ndio chanzo, sijui US imezuia dollar; the nonsense is beyond.
Yaani kila kitu ovyo hawajamaliza upuuzi wa LNG ambao huko mbele watanzania watakuja shangaa sana hayo maamuzi. washakimbilia bandari, mara bei ya chakula, mara toll roads, mara BBT; the nonsense is endless.