Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Hivi huyu mwendazake ameifanyia nini nchi hii ,kama miundo mbinu hakua anatoa pesa mfukoni mwake ,na bado alipiga cha juu , tuheshimiane
 
Back
Top Bottom