Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hakuna kitu hapo Russia atadoda na gesi yake hakuna mtu mwenye akili timamu atakayenunua nishati yenye masharti huku Russia mwenyewe akiwa ameshachoka vibaya kiasi kwamba hata vita vyake alivyovianzisha mwenyewe vimeshamshinda.
Options are there concerning the Europe's energy saga to which the Russian gas is not indispensable.
Hili litafanikiwa maana hata wengine washaona mwenzako akinyolewa zako tia maji kuwa lililompata mrusi linaweza kuwapata.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayekubali kuishi bila gesiHakuna kitu hapo Russia atadoda na gesi yake hakuna mtu mwenye akili timamu atakayenunua nishati yenye masharti huku Russia mwenyewe akiwa ameshachoka vibaya kiasi kwamba hata vita vyake alivyovianzisha mwenyewe vimeshamshinda.
Options are there concerning the Europe's energy saga to which the Russian gas is not indispensable.
Sio rahisi kama unavyofikiria. Ulaya wanaitegemea hiyo gas na russia ndie alikuwa anawauzia the cheapest gas. Wakisusa watakufa kwa baridi 🤣🤣.Hakuna kitu hapo Russia atadoda na gesi yake hakuna mtu mwenye akili timamu atakayenunua nishati yenye masharti huku Russia mwenyewe akiwa ameshachoka vibaya kiasi kwamba hata vita vyake alivyovianzisha mwenyewe vimeshamshinda.
Options are there concerning the Europe's energy saga to which the Russian gas is not indispensable.
Nchi za magharibi haziwezi ku-compromise principles zao kwa sababu ya Russia, wewe huzijui hizo nchi na falsafa zao.Sio rahisi kama unavyofikiria. Ulaya wanaitegemea hiyo gas na russia ndie alikuwa anawauzia the cheapest gas. Wakisusa watakufa kwa baridi 🤣🤣.
Kumbuka imasambazwa kwa bomba sasa hata wakisema watamfute mbadala wake kujemga bomba ni mradi unaochukua miaka.
Hapa lazima warudi mezani
We kama marekani kajiwekea grace period ya siku 45 ya kuendelea kununua wese toka russia utasemaje hawawezi kucompromise principles zao. Maamuzi yao lazima yazingatie raia, wakate kununua gesi uone raia zitakavyoingia mtaani.Nchi za magharibi haziwezi ku-compromise principles zao kwa sababu ya Russia, wewe huzijui hizo nchi na falsafa zao.
Russia kuna tatizo gn? Hebu fafanua mkuu?Russia imeminya kabisa raia wake kuzungumza vitu negatives kuhusiana na vita hii. Kama Ulaya inapigika kiasi hiki, basi hata huko Russia pia kunamenyeka haswa.
Ikikata kabisa Gas, huenda ikafumuka vita rasmi ya Ulaya na RussiaRussian ruble imeimarika zaidi dhidi ya dollar kipingi hichi kigumu cha vikwazo. Iwapo Russia itakata ges kwenda ulaya, basi ulaya kutakua na maandamano makubwa na baadhi ya serikali kuanguka. Tusubiri tuone.
Ndo kwaanza kaongeza kiasi cha mafuta kutoka urusiWe kama marekani kajiwekea grace period ya siku 45 ya kuendelea kununua wese toka russia utasemaje hawawezi kucompromise principles zao. Maamuzi yao lazima yazingatie raia, wakate kununua gesi uone raia zitakavyoingia mtaani.
Wanaihitaji hiyo gesi ya mrusi sana sana hata wakisema watafte njia mbadara zinahitaji muda
Hii habari nimeiona Aljazeera eti wakamuuliza afisa flani akasema wameweka grace period ya siku 45.Ndo kwaanza kaongeza kiasi cha mafuta kutoka urusiView attachment 2169780
Wenye akili wamemshtukiaHii habari nimeiona Aljazeera eti wakamuuliza afisa flani akasema wameweka grace period ya siku 45.
Ndio maana nchi nyingine kama India zimeamua zitanunua mafta kwa kulipana kwa sarafu zao maana Marekani yeye anajali maslahi yake tu
Ukitaka kujua ni matapeli, alikataa serikali ya maduro ila baada ya hii vita eti hapo akataka kuitambua wamuuzie mafta. Hii vita itafungua nchi nyingi machoWenye akili wamemshtukia
Unaonyesha kama sio mshabiki wa nchi za magharibi,basi dish limeyumba,wenzako wanatoa ufafanuzi juu ya hoja zao,wewe unatoa jibu mkato tu kuwa hawezi bira kufafanuaNchi za magharibi haziwezi ku-compromise principles zao kwa sababu ya Russia, wewe huzijui hizo nchi na falsafa zao.
Namimi ningekuwa ndo Putin hizo kenge ningeshikilia msimamo wanguHii habari nimeiona Aljazeera eti wakamuuliza afisa flani akasema wameweka grace period ya siku 45.
Ndio maana nchi nyingine kama India zimeamua zitanunua mafta kwa kulipana kwa sarafu zao maana Marekani yeye anajali maslahi yake tu
Sio ita MKUU tayari ishafunguaUkitaka kujua ni matapeli, alikataa serikali ya maduro ila baada ya hii vita eti hapo akataka kuitambua wamuuzie mafta. Hii vita itafungua nchi nyingi macho
Samahani MKUUIkikata kabisa Gas, huenda ikafumuka vita rasmi ya Ulaya na Russia
Rejea mgogoro wa Fuel 1970s mwanzoni…Waarabu walikaza kutoa mafuta yao nusura wavamiwe na Mabeberu
Hivi vita kuna kuogopana pia kuepuka mgogoro zaid
Russia ana hofu akikatiza kabisa Gas kwenda Europe nini kitatoke
NATO wameweka vikwazo vingi sana kwa Russia lakin sio kuuza gas Ulaya
NATO ana hofu kuweka zuio la kutorusha ndege kwny anga la Ukraine as they did to Libya wakati wa Muammar kwa kuwa anajua Russia huenda akakiuka na matokea yake ikafumua vita kubwa
Vita hivi vikilipula wanajua vitainyanyua sana kiuchumi China, India na Turkey kosa ambalo hawataki kulifanya
Russia imeminya kabisa raia wake kuzungumza vitu negatives kuhusiana na vita hii. Kama Ulaya inapigika kiasi hiki, basi hata huko Russia pia kunamenyeka haswa.