Uhaba wa gesi kuitikisa Ulaya

Uhaba wa gesi kuitikisa Ulaya

Hakuna kitu hapo Russia atadoda na gesi yake hakuna mtu mwenye akili timamu atakayenunua nishati yenye masharti huku Russia mwenyewe akiwa ameshachoka vibaya kiasi kwamba hata vita vyake alivyovianzisha mwenyewe vimeshamshinda.

Options are there concerning the Europe's energy saga to which the Russian gas is not indispensable.
Screenshot_20220329-222836_RT News.jpg

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Hakuna kitu hapo Russia atadoda na gesi yake hakuna mtu mwenye akili timamu atakayenunua nishati yenye masharti huku Russia mwenyewe akiwa ameshachoka vibaya kiasi kwamba hata vita vyake alivyovianzisha mwenyewe vimeshamshinda.

Options are there concerning the Europe's energy saga to which the Russian gas is not indispensable.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayekubali kuishi bila gesi
 
Hakuna kitu hapo Russia atadoda na gesi yake hakuna mtu mwenye akili timamu atakayenunua nishati yenye masharti huku Russia mwenyewe akiwa ameshachoka vibaya kiasi kwamba hata vita vyake alivyovianzisha mwenyewe vimeshamshinda.

Options are there concerning the Europe's energy saga to which the Russian gas is not indispensable.
Sio rahisi kama unavyofikiria. Ulaya wanaitegemea hiyo gas na russia ndie alikuwa anawauzia the cheapest gas. Wakisusa watakufa kwa baridi 🤣🤣.
Kumbuka inasambazwa kwa bomba sasa hata wakisema watafute mbadara wake kujenga bomba ni mradi unaochukua miaka.
Hapa lazima warudi mezani
 
Sio rahisi kama unavyofikiria. Ulaya wanaitegemea hiyo gas na russia ndie alikuwa anawauzia the cheapest gas. Wakisusa watakufa kwa baridi 🤣🤣.
Kumbuka imasambazwa kwa bomba sasa hata wakisema watamfute mbadala wake kujemga bomba ni mradi unaochukua miaka.
Hapa lazima warudi mezani
Nchi za magharibi haziwezi ku-compromise principles zao kwa sababu ya Russia, wewe huzijui hizo nchi na falsafa zao.
 
We kama marekani kajiwekea grace period ya siku 45 ya kuendelea kununua wese toka russia utasemaje hawawezi kucompromise principles zao. Maamuzi yao lazima yazingatie raia, wakate kununua gesi uone raia zitakavyoingia mtaani.
Wanaihitaji hiyo gesi ya mrusi sana sana hata wakisema watafte njia mbadara zinahitaji muda
 
Russian ruble imeimarika zaidi dhidi ya dollar kipingi hichi kigumu cha vikwazo. Iwapo Russia itakata ges kwenda ulaya, basi ulaya kutakua na maandamano makubwa na baadhi ya serikali kuanguka. Tusubiri tuone.
Ikikata kabisa Gas, huenda ikafumuka vita rasmi ya Ulaya na Russia

Rejea mgogoro wa Fuel 1970s mwanzoni…Waarabu walikaza kutoa mafuta yao nusura wavamiwe na Mabeberu

Hivi vita kuna kuogopana pia kuepuka mgogoro zaid

Russia ana hofu akikatiza kabisa Gas kwenda Europe nini kitatoke

NATO wameweka vikwazo vingi sana kwa Russia lakin sio kuuza gas Ulaya

NATO ana hofu kuweka zuio la kutorusha ndege kwny anga la Ukraine as they did to Libya wakati wa Muammar kwa kuwa anajua Russia huenda akakiuka na matokea yake ikafumua vita kubwa

Vita hivi vikilipula wanajua vitainyanyua sana kiuchumi China, India na Turkey kosa ambalo hawataki kulifanya
 
We kama marekani kajiwekea grace period ya siku 45 ya kuendelea kununua wese toka russia utasemaje hawawezi kucompromise principles zao. Maamuzi yao lazima yazingatie raia, wakate kununua gesi uone raia zitakavyoingia mtaani.
Wanaihitaji hiyo gesi ya mrusi sana sana hata wakisema watafte njia mbadara zinahitaji muda
Ndo kwaanza kaongeza kiasi cha mafuta kutoka urusi
Screenshot_20220330-215529_RT News.jpg
 
Ndo kwaanza kaongeza kiasi cha mafuta kutoka urusiView attachment 2169780
Hii habari nimeiona Aljazeera eti wakamuuliza afisa flani akasema wameweka grace period ya siku 45.
Ndio maana nchi nyingine kama India zimeamua zitanunua mafta kwa kulipana kwa sarafu zao maana Marekani yeye anajali maslahi yake tu
 
Wenye akili wamemshtukia
 
Hii habari nimeiona Aljazeera eti wakamuuliza afisa flani akasema wameweka grace period ya siku 45.
Ndio maana nchi nyingine kama India zimeamua zitanunua mafta kwa kulipana kwa sarafu zao maana Marekani yeye anajali maslahi yake tu
Namimi ningekuwa ndo Putin hizo kenge ningeshikilia msimamo wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua ni matapeli, alikataa serikali ya maduro ila baada ya hii vita eti hapo akataka kuitambua wamuuzie mafta. Hii vita itafungua nchi nyingi macho
Sio ita MKUU tayari ishafungua
 
Ikikata kabisa Gas, huenda ikafumuka vita rasmi ya Ulaya na Russia

Rejea mgogoro wa Fuel 1970s mwanzoni…Waarabu walikaza kutoa mafuta yao nusura wavamiwe na Mabeberu

Hivi vita kuna kuogopana pia kuepuka mgogoro zaid

Russia ana hofu akikatiza kabisa Gas kwenda Europe nini kitatoke

NATO wameweka vikwazo vingi sana kwa Russia lakin sio kuuza gas Ulaya

NATO ana hofu kuweka zuio la kutorusha ndege kwny anga la Ukraine as they did to Libya wakati wa Muammar kwa kuwa anajua Russia huenda akakiuka na matokea yake ikafumua vita kubwa

Vita hivi vikilipula wanajua vitainyanyua sana kiuchumi China, India na Turkey kosa ambalo hawataki kulifanya
Samahani MKUU
Kwauelewa ama kwauoni wako kutokana na uloliandika unahisi hili suala litamalizikaje kwamba RUBLE haitafanya kazi kama ilivyoongelewa ama inakuaje
Nakwampaka sasa jambo lilipofikia umahisi kama RUSSIA atafunga GESI kwamba EUROPE watakosa kabisa nishati mbadala
Na kwamba RUSSIA akifunga GESI jumla inaweza ikaibuka VITA hapo EUROPE !!?
 
Russia imeminya kabisa raia wake kuzungumza vitu negatives kuhusiana na vita hii. Kama Ulaya inapigika kiasi hiki, basi hata huko Russia pia kunamenyeka haswa.

Urusi ni kama mtoto ya yatima. Wananchi wa Urusi wamezoa ugumu wa maisha kwa taarifa yako. Wale ni kama waafrika tu. Uwezo wao wakustahimili hali ngumu ni mkubwa ukilinganisha na hawa jamaa wa Ulaya ambao wamezoea maisha mazuri.

So kuna tofauti ndo maana unaona tamaduni zao ni tofauti sana. Urusi wanaume ndo wanasauti siyo kama Ulaya ambapo mfumo jike umetawala.
 
Back
Top Bottom