Uhaba wa gesi kuitikisa Ulaya

Huna akili we mtoto angalia hio hapo chini au tumia hata Google kuelewa mambo sio unapayuka tu

View attachment 2170191
Mkuu sasa tuko 2022, umeleta habari ya wheat exports 2020 sijui hoja yako iko wapi, tunataka tuiangalie russia baada ya kuivamia Ukraine ataweza vipi kupunguza foleni ya raia wake wakilazimishwa kinunua sukari 2kg kwa mtu 1 tu., lakini em tupia hapa uangalie exchange rate ya ya fedha russia rub kwa $

 
Kila mtu ale chakula chake Unasema Rssia ana njaa ni biggest exporter wa ngano dunia kwaio ndani ya mwezi mmoja chakula kimeisha??



Takwimu za siku 4 zilizopita hizi hapa
 
Kila mtu ale chakula chake Unasema Rssia ana njaa ni biggest exporter wa ngano dunia kwaio ndani ya mwezi mmoja chakula kimeisha??

View attachment 2170238

Takwimu za siku 4 zilizopita hizi hapa

Mkuu siku 4 vipi na kwa mujibu wa bandiko lako mwenyewe ni tokea 2020? usilamishe utakavyo wewe tena ilibidi wende kwenye Wikipedia., hii ni history tu lete habari ya sasa kuhusu Putini na aila zake.
 
Hujui kwamba mbadala wa Gas ni Makaa ya Mawe ambayo ni rahisi na nafuu kuliko gas?
 
Wachumi uchwara wa Jamiiforums,huyo Russia anauza Gas na Mafuta kiasi gani kwenye soko la Dunia kuwashinda Waarabu na Marekani?
 
Hii haina kidhibiti chochote nimeweka kwa dustbin.,

Labda niongezee tu utakuta hiyo 2020 Russia ikisafirisha ngano ulaya zaidi lakini tokea hii ban ianze utakuta sasa ulaya inapokea ngano kutoka washrika wengine wa ulaya kama canada na nchi nyeinge., lazima ufahamu russia wana hali ngumu
 
Mada ilikuwa watakufa na njaa sasa naona unahama
 
Mada ilikuwa watakufa na njaa sasa naona unahama
Niko hapo hapo wanapanga foleni kununua sukari 2kgs kwa mtu, sasa kama unapanga folen leo mwezi 1 toka vikwanzo waekewe baada miezi 4 mbele itakuaje? njaa tu mkuu
 
Gap la vyama pinzani vya ulaya na america kuwajibisha serikali sasa...... republican naona washaanza huko kumshika makende babu wao....spain nako naona si haba pashaanza kuwaka, france kwa bwana mdogo naona kama kaona upepo sio anataka kuongea na putin.....

Na lengo la putin hapo ukute hata sio Ukraine, lakini kafaulu kuwavuta wajinga wa ulaya na marekani wakajua shida ni Ukraine.
 
Week ijayo siku kama ya leo uje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…