Hii ndo itakua mwanzo wa mwisho wa petrodollars....
US kwa miaka mingi amekua akifaidika kwa matumizi ya ela yake kutumika ktk transaction za kimataifa...
Putin anaweza tetereka Ila ni kwa muda tu.
Russia ni li nchi limoja kuuuuubwa km Africa... Lina watu wachache sana takriban 145Milion uku nchi ikiwa kubwa km Africa.. Russia wana Ardhi ya kutosha kulisha nusu ya Dunia... Russia wana Nishati na Mafuta na Gas yakutosha, Mafuta ni wapili baada ya Saudi Arabia... Russia wana Metal km Aluminum, Copper za kutosha.
Russia wana Gold,Uranium nk za kutosha.
Russia ni mzalishaji mkuu wa Grain, soya Bean, ngano na analisha nchi kibao za Africa na Arabuni hivo pata picha...
So ktk aya yanayoendelea Russia ataumia kwa kiasi Ila naziona Nchi za Ulaya maisha yakipagalanyika,maandamano na mizozo...
Huu ndoutakua mwanzo wa Petrodollars kwani nchi ndogo zilizojaribu kutaka kuachana na matumizi ya Dollars kwenye mauzo ya Nishati yao aidha zilipinduliwa au kuletewa zengwe na US ila kwa Russia nchi namba Moja kwa nguvu za Nuclear nadhani atakua ametuondolea kisiki cha dollars