Hali ni ngumu kutabirika ila wataelewana kwa vita kuisha kwa Ukraine kutojiunga na NATO na kila kitu kitarejea kama awali kwa sharti Ukraine isijiunge na NATO na Russia iyaachie yale majimbo yarejee kuwa sehemu ya UkraineSamahani MKUU
Kwauelewa ama kwauoni wako kutokana na uloliandika unahisi hili suala litamalizikaje kwamba RUBLE haitafanya kazi kama ilivyoongelewa ama inakuaje
Nakwampaka sasa jambo lilipofikia umahisi kama RUSSIA atafunga GESI kwamba EUROPE watakosa kabisa nishati mbadala
Na kwamba RUSSIA akifunga GESI jumla inaweza ikaibuka VITA hapo EUROPE !!?
Hayo ni mawazo tu inawezekana isiwe hivyo