Mbunge ni Mwenyekiti wa bunge!Je mbunge wa hapa ni CHADEMA??
Kilolo hiyo bwashee kwa mchungaji Msigwa wa Chadema!
Chadema wapewe jukumu la kukusanya kodiJe mbunge wa hapa ni CHADEMA??
Hatari sana kodi zetu zinatumika kumkamatia Mbowe ambae sie tija kwa mlipa kodi wala tishio la nchi.Hapo si watoe hata milioni 5 tu kwa nguvu ya wananchi yanapatikana madarasa 5.Kama v8 moja tu la mkurugenzi linakunywa lita 2000 kwa mwezi SAwa na kodi yetu milioni 4 na laki 8 imechomwa kwenye dizeli si mkurugenzi apaki v8 apande daladala hio pesa atakayookoa kwa mwezi huo inatosha kabisa kupata madarasa 5 kwa ajili ya future ya watoto hao.Huko nkoa ya Ntwara, kuna shule, darasa moja, wanakaa wanafunzi wa awali, darasa la kwanza na la pili kwa wakati mmoja chini ya mwalimu mmoja tu. Walimu walikuwa watatu darasa la awali mpaka la saba. Hivi sasa wameongeka walimu wawili sasa wametimia watano.
Wazazi wa kinondoni ,temeke ilala nk walijiongeza kupata miundombinu mizuri ya kusomea watoto wao? au hao wakilolo sio walipa kodi au sio wananchi?Kilolo kwenye utajiri wa miti, chai na maparachichi?
Wazazi wajiongeze.
Wazazi wa kinondoni ,temeke ilala nk walijiongeza kupata miundombinu mizuri ya kusomea watoto wao? au hao wakilolo sio walipa kodi au sio wananchi?
Ndalichako hata habari Hana kwasababu mtoto wake anasoma kwenye academy nje ya nchi.Ndalichako Joyce, ndalichako Joyce, ndalichako Joyce 🧐