Uhaba wa madarasa, wanafunzi madarasa mawili tofauti ndani ya jengo moja, walimu wawili wafundisha muda mmoja

Uhaba wa madarasa, wanafunzi madarasa mawili tofauti ndani ya jengo moja, walimu wawili wafundisha muda mmoja

Hata kama Ingekuwa ni Mwalimu mmoja ni aibu sana kuwa na shule za tope kama hizi karne hii hali tunalipa kodi.Nini maana ya kodi zetu kugharamia anasa za wanasiasa au kutuletea maendeleo yetu.Pia hata community ya sehemu hio inatakiwa ichapwe viboko hii ni aibu yao.
 
Walimu wawili wakifundisha katika jengo moja lenye wanafunzi wa madarasa tofauti, la pili na la tatu katika Shule ya Msingi Ifua, Kitongoji cha Ifua wilayani Kilolo, mkoani Iringa

Jengo lenyewe choka mbaya, limejengwa kwa matope, hamna Cha sakafu Wala Nini! Ni Kama karne ya 17 duuh!..View attachment 1879465
Tunanunua ndege na kushona suti kila siku ili asafiri kwenda rwanda,burundi,uganda,zambia...hana analoweza kufanya ccm miaka 60 imeshindwa kuleta maendeleo
 
Mishahara ya miezi mitatu pamoja na marupurupu anayopata mbunge wa Kilolo venance Mwa Moto yanaweza kuifuta hii aibu.
Lkn mbunge amechagua kuishi Maisha ya anasa potelea mbali Kama wanafunzi watakua hawapati haki yao ya Msingi.
Shame. 60 years after independence.
 
No nasikia Mbunge Justin Lazaro Nyamoga mke wake alikuwa DC chamwino.
Mwendelezo wa Prof Msola
Duh. Kuumbe na Msola alikua mbunge wa Kilolo. Kumbe ndio maana kuko hivyo.
Webu wabunge wa huko waje huku Hai wajionee madarasa na nyumba za walimu zilivyo.
 
Duh. Kuumbe na Msola alikua mbunge wa Kilolo. Kumbe ndio maana kuko hivyo.
Webu wabunge wa huko waje huku Hai wajionee madarasa na nyumba za walimu zilivyo.
Haaaaa ulipotaja Hai tu nakukumbia,Betri na gunzi ilikuwa inawaka vipi,wakati Jumbo LA kilolo zote zilikuwa Betri
 
Kama hii ni kweli viongozi wako wapi?
 

Attachments

  • IMG_4272.MOV
    3.9 MB
Viongozi wetu wanatakiwa kushuka chini sana ili kuweza kupata picha halisi za matatizo na changamoto zetu.
Na natamani ifike mahala tupunguze gharama kwenye posho na mishahara ya viongozi wetu ili walau kuchochea upatikanaji wa huduma muhimu ikiwemo Elimu, Maji na Afya katika jamii.
 
Back
Top Bottom