Uhaba wa Mafuta unazidi kutisha

Uhaba wa Mafuta unazidi kutisha

Kumbe wenye vituo walibania mafuta wanajuwa bei itaongezeka.
 
Uhaba wa mafuta haukuwepo bali wauzaji waliamua kutouza baada ya kujua kuna ongezeko kubwa la bei linakuja.

Haya yanasababishwa na wafanyabiashara wiokosa maadili, na pia maofisa wa EWURA waliokosa maadili. Wafanyabiashara wanakuwa na mawasiliano na wapanga bei ya mafuta wa EWURA ili kujua mafuta yatapanda bei au kushuka, na kwa kiasi gani. Na kwa mazingira kama hayo ndipo palistahili nguvu ya Serikali.
 
Thamani ya shilingi dhidi ya dola ya Kimarekani imeshuka tena? Najua Kikwete ndiye aliyeishusha sana Shillingi wakati wa mwisho wa utawala wake. Ndani ya mmiezi kumi na tano ya mwisho wa utawala wa Kikwete Shiling ilishuka kutoka 1570 kwa dola hadi 2130 kwa dola. JPM aliistabilize shilingi kwa kiasi fulani kwani ndani ya miaka yake mitano ilibakia wastani wa 2250 kwa dola pamoja na momentum aliyorithi kwa Kikwete. Mama Samia kayumba kidogo kwani muda huu mfupi tu Shilingi imetelemka tena hadi 2450 kwa dola licha ya kuipokea ikiwa na zero momentum, ni waskati wa sh 80 kwa mwaka. Trend ikiendelea hivi pasipo mabadiliko hadi kipindi cha pili cha mama basi atakapoondoka ataiachs imefikia Ths 3100 kwa dola, na hili siyo jambo zuri.

Sababu kubwa za kutelemka kwa thamani ya Shillingi kwetu ni pamoja na inflation (kunakuwa na mzunguko mkubwa fedha mitaani kuliko uchumi unavoweza kuhimili), public debt (Deni kubwa la serikali lisilohimilika), Balance of trade (tunanunua vitu vingi kutoka nje kuliko tunavyouza nje). Najua kuna factors nyingine lakini hizo tatu ndizo zinazoathiri sana Shilling yetu
 
Kwa sasa Tsh ni 2650
Hauwezi punguza uagizaji kama umewapa Wachina eneo wajenge maduka 2060 ambayo vitu vyote watakuwa wakiagiza nje.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!

Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.

Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe wananchi kuwa mafuta yapo.
Nchi ina MWANASESERE, Hatuna raisi hapo
 
Si mnasema Waarabu wanawaibia? Kojoleeni kwenye matanki ya gari sasa muendeshe magari.

"baniani mbaya kiatu chake dawa"?

Mwende mkabadili mifumo ya magari yenu itumie Taifa Gas ya Rostam Aziz.
Ww bibi unashida sana kichwani kuliko ninavyofikiria
 
Kama ulikuwa huelewi, unaweza kwa na pesa cash ukakosa mafuta duniani. Mafuta unayotumia leo unaweza kukuta yamenunuliwa miaka miwili, mitatu mpaka mitano nyuma.

Msifikiri biashara ya mafuta ni kama ya kuuza mbege.

Fikiri; uwaminyie mikataba na kuwafungia pesa zao watu hao hao wenye kuhodhi mafuta, halafu utegemeee kila utapotaka mafuta utayapata?

Kakojoleeni mikojo yenu ya kvan muendeshee magari.
Unajifanya unajua kumbe ww ni kitu.kwa hiyo mafuta ya leo yamenunuliwa kipindi cha awamu ya tano sio
 
Uhaba wa mafuta haukuwepo bali wauzaji waliamua kutouza baada ya kujua kuna ongezeko kubwa la bei linakuja.

Haya yanasababishwa na wafanyabiashara wiokosa maadili, na pia maofisa wa EWURA waliokosa maadili. Wafanyabiashara wanakuwa na mawasiliano na wapanga bei ya mafuta wa EWURA ili kujua mafuta yatapanda bei au kushuka, na kwa kiasi gani. Na kwa mazingira kama hayo ndipo palistahili nguvu ya Serikali.
Kipondi cha magu wasingefanya huu ujinga ,wangepigwa faini za kutosha kabisa .ili akili iwakae ,ila kwa kuwa TUNAMWANASESERE PALE ,Ndo wakubwa wanafanya kama wanavyotaka
 
Thamani ya shilingi dhidi ya dola ya Kimarekani imeshuka tena? Najua Kikwete ndiye aliyeishusha sana Shillingi wakati wa mwisho wa utawala wake. Ndani ya mmiezi kumi na tano ya mwisho wa utawala wa Kikwete Shiling ilishuka kutoka 1570 kwa dola hadi 2130 kwa dola. JPM aliistabilize shilingi kwa kiasi fulani kwani ndani ya miaka yake mitano ilibakia wastani wa 2250 kwa dola pamoja na momentum aliyorithi kwa Kikwete. Mama Samia kayumba kidogo kwani muda huu mfupi tu Shilingi imetelemka tena hadi 2450 kwa dola licha ya kuipokea ikiwa na zero momentum, ni waskati wa sh 80 kwa mwaka. Trend ikiendelea hivi pasipo mabadiliko hadi kipindi cha pili cha mama basi atakapoondoka ataiachs imefikia Ths 3100 kwa dola, na hili siyo jambo zuri.

Sababu kubwa za kutelemka kwa thamani ya Shillingi kwetu ni pamoja na inflation (kunakuwa na mzunguko mkubwa fedha mitaani kuliko uchumi unavoweza kuhimili), public debt (Deni kubwa la serikali lisilohimilika), Balance of trade (tunanunua vitu vingi kutoka nje kuliko tunavyouza nje). Najua kuna factors nyingine lakini hizo tatu ndizo zinazoathiri sana Shilling yetu
Kipondi cha kikwete mbona nilinunua dolla kwa tsh 2210 na risi ninayo .huyu mama ataiacha 5250 huku sio kwa kasi hii aisee
 
Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!

Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.

Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe wananchi kuwa mafuta yapo.
Kuna mgomo wa chini chini wa wafanyabiashara ya mafuta.
Wanadai makamba anakula rushwa hatari. Bila bilion moja hatoi kibali cha kuingiza mafuta nchini
 
Kipondi cha magu wasingefanya huu ujinga ,wangepigwa faini za kutosha kabisa .ili akili iwakae ,ila kwa kuwa TUNAMWANASESERE PALE ,Ndo wakubwa wanafanya kama wanavyotaka
Mjane bado unaomboleza kifo cha lile shetani lenu la Chato.
Mfate kaburini...
 
Kipondi cha kikwete mbona nilinunua dolla kwa tsh 2210 na risi ninayo .huyu mama ataiacha 5250 huku sio kwa kasi hii aisee
Kikwete alipoingia madarakani aliikuta dola ikiwa TSh 1250 huku ikitelemka, kwan hiyo alopokea momentum ya kutelemka kwa muda mfupi na alipoanza safari za kujitambulisha nayo ikaanza kupanda na haikurudi nyuma. Kipindi cha mwisho wa utawala wakiwa kwenye safari za kuaga ndipo ikalipuka kabisa. Wakati wa safari za kuaga mara kadhaa bajeti ya ikulu ilikuwa inaishiwa hela inabidi wachukue supplementary budget hazina ambayo ilisababisha wingi wa pesa mitaani na kupunguza sana thamani ya shillingi.
 
Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!

Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.

Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe wananchi kuwa mafuta yapo.
Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe wananchi kuwa mafuta yapo.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same!

Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa.

Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe wananchi kuwa mafuta yapo.
Kikao cha dharura kati EWURA na waagizaji wa mafuta hakijafua dafu baada ya kutawaliwa na shutuma dhidi ya mkurugenzi wa EWURA na waziri wa nishati na jinsi wanavyoharibu mfumo mzima wa bulk procurement na upendeleo na rushwa zinazofanywa kuwapa watu vibali

Wafanyabiashara hao wamemwambia Mkurugenzi wa EWURA hana uwezo wa kutatua mgogoro huo na mgomo huo kwa kuwa malalamiko yao yako kwake zaidi ya mwaka na hakuna kitu amefanya zaidi ya kutoa vitisho

Kikao hicho kilichosusiwa na wengi wa waagizaji mafuta kilikuwa kitoke na suluhu ya mgogoro uliopo wa kuadimika kwa mafuta na mgomo wa kimya kimya wa waagizaji mafuta.

Kwa mara ya kwanza waagizaji mafuta hao wamesema ndani ya kikao kuwa waziri January Makamba ni mtu asiyejua sekta ya mafuta inaendeshwaje na yeye anachowaza ni kupokea rushwa tu bila kufikiria hiyo ni biashara na watu wanataka kupata faida. Moja ya mjumbe alisema ni bora akatafuta biashara nyingine ya kufanya lakini hawezi kutoa $400,000 karibia 1bn TZS kwa ajili ya rushwa ili apewe kibali ambapo faida ya biashara hiyo haifiki hata hiyo 1bn TZS anayotaka apewe.

Tukiondoka kwenye kikao hicho ni wazi kuwa uhaba na kutokuwepo kwa mafuta na kuanza kuuzwa mafuta kwa magendo kumeanza kusambaa nchi nzima na hii ni dalili kuwa tatizo hili linakwenda kuwa sugu na linakwenda kuathiri sana uchumi wa taifa hili.

Waziri Makamba ndiye anayesababisha mgao wa umeme kimya kimya huku kila kukicha anatokea kwenye makamera anasaini mikataba ya kuzalisha umeme hewa. Lakini tunajua kwenye mikataba hii anachofuata na kukitafuta ni rushwa tu na hakuna kingine. Kwenye hili la mafuta kumedhihirisha jinsi ambavyo rushwa anazozitaka ili kutoa vibali vya kuagiza mafuta zinavyoathiri nchi na uchumi.

Swali je? Haya yote ndiyo ambayo mlikuwa mnataka kuwafanyia watanzania? Mlikuwa mnajenga uchumi kwa miaka miwili mitatu nyuma na ukawa imara sana lengo lenu ilikuwa kuja kuuharibu kwa kuwa na waziri wa hovyo kama huyu?

Tunajua Kinana na kundi lake wanamtetea sana kufa na kupona kwa sababu ni wanufaika wa hizi rushwa na ndiyo maana January Makamba hakauki nyumbani kwa Kinana hapo Masaki.

Kinana ni miongoni mwa wanaotisha mamlaka kuwa huyu akitolewa ataleta mpasuko. Hivi Lowassa alishindwa kuleta mpasuko ataleta mpasuko mtu aliyepata kura chache kuliko zote kwenye ujumbe wa NEC? Huyu alifukuzwa uwaziri na Magufuli alileta athari gani? CCM msitake kujibrand kuwa wizi na rushwa ni sifa ya kuwa mwana CCM. Huyu kijana wenu kashindwa kazi na uwezo hana. Dada yake ambaye ndiyo mficha hela za wizi mkuu anaishi maisha ya anasa sana huku hana kazi anayoifanya nalo hili ni la kusubiri? Anatoa wapi hela ya kukodisha ndege binafsi kwenda kufanya ulevi na uhuni Afrika ya Kusini? Anatoa wapi hela ya kukodisha yatch na kundi la wahuni wenzake na kufanya anasa? Hivi mnawaonaje watanzania?

Haya yote yanafanywa mnataka watu wakae kimya na wakisema mnaanza kuwatafuta muwauwe na kuwapa sumu! Kwani mkiwauwa mafuta yatapatikana? Mkiwapa sumu wakafa umeme utapatikana?

Ifike mahali sasa serikali iamue kutoa kauli kuwa mtu huyu ni wao wanamtuma na hakuna haja ya kulalamika kwa sababu kila anachofanya kuanzia kununua mita za LUKU mbovu , kulipa vyura bila utaratibu, kukwapua mabilioni kwenye mikataba REA,kuficha hela Indonesia ni maagizo yao hivyo watanzania wakae walime maharage na mahindi wasihangaike. TUTAWAELEWA

Narudia tena! Yalikuwa ni makosa makubwa sana kuwarudisha hawa vijana kwenye serikali na yakawa makosa makubwa zaidi kumtudisha god father wao Kinana kwenye chama maana madhara yake ndiyo haya sasa. Majitu MAJIZI haya yanawaza kuitafuna tu nchi na hayana huruma na watanzania. Ndiyo maana kuwezi ona wanaongelea athari wanapata watanzania kwa kukosa mafuta kwa kuwa tu waziri hatoi vibali mpaka apewe rushwa

Kuna siku watanzania itafika watalazimika kuingia barabarani na ikifika hatua hii hawatataka waziri mwizi na mla rushwa atoke bali watataka CCM na serikali nzima iondoke kwa kuwa mnatetea MAJIZI haya ya akina Kinana na Janaury

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom